Muwe mnatuacha tufanye kazi yetu kwa uhuru. Hamtalalamika.

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,635
4,519
Nashangaa simu inaita. Namba ngeni. Nikapokea nasikia sauti ya mwanamke. Anajitambulisha mimi ni mkeo wa zamani. Nani nikumbushe wa zamani mpo wengi mbona. Alijitambulisha. Anhaa ni wewe za masiku.

Akanijibu nzuri upo wapi siku hizi? Nipo mkoa nahangaika na wewe upo wapi? Nipo Dar bado. Nikasema sawa nashukuru kwa kunikumbuka

He akaniuliza, bado unapiga mashine kama zamani? Na mimi nikamjibu umri umeenda ila bado najitahidi. Akaniambia weekend hii nakuja tena kwa gharama zangu.

Nikamuuliza wewe toka tumeachana ni zaidi ya miaka 25 sasa unategemea ntakua mtu yuleyule? Akaniambia ntajua siku nikifika huko. Kama masihara ijumaa naona ujumbe wa picha mtu yupo ndani ya New Force akaniambia tumeshavuka Chalinze nishukie wapi?

Sikuamini ila nikajipa moyo nikisema acha tuone. Saa saba mchana ananipigia nipo Ilula nikasema he makubwa haya. Saa nane mtu anashuka. Ile kumuona tu nilichoka.

Amejiachia mwanamama kwa makadirio ya haraka ni kilo 95. Mh, langu hili. Ninalo. Nikamkaribisha vizuri, nikamtafutia sehemu tulivu ya kula kisha nikampeleka lodge ambayo nilipanga tukae siku mbili.

Kufika ndani sasa kila ninapomgusa mwenzangu hataki. Nikitaka kumgeuza huku hataki. Ikabidi mechi uendelee hivyohivyo. Mapumziko nikamuuliza una muda gani hujafikishwa? Akaniambia muda mrefu sana. Na mimi nikamwambia hufikishwi kwa sababu umebadilika.

Unataka kuongoza mchezo wakati inatakiwa uruhusu mashambulizi ya mpinzani wako. Akaniuliza hilo linaweza kuwa tatizo? Nikamwambia huo ubosi wako na unavyowatuma na kuwaagiza wa chini yako uishie kazini kwako, usiulete kitandani. Vinginevyo climax utaisikia kwa wenzio tu.

Tulivyoingia raundi ya pili akaniachia uhuru wangu na mimi nikamtendea haki. Kutoka hapo akaniambia yaani nimeolewa kwa muda wa miaka 15 bila kupata raha kitandani. Sasa kila mume wangu atakapokua nje ya nchi ntakufuata.

Nikamjibu kuwa huna haja ya kunifuata hata mumeo ana uwezo wa kukuridhisha kama ukimpa nafasi ya kufanya yake kama mwanaume na si kumuongoza cha kufanya uwapo naye kitandani.

Aliporudi akaniambia kwa mara ya kwanza nimefurahia penzi la mume wangu.
 
Kuwa submissive kwenye ndoa kwa mwanamke ndio Kiini cha mafanikio...
Sema ndio wengi wetu tunaichukulia Kama Adhabu
Asante kwa kulitambua hilo mpenzi. Na kitu ambacho wanawake wengi hawakitambui ni kuwa mwanaume siku zote anapokua kazini hua hataki vipingamizi vya aina yoyote. Vinginevyo anaweza kupoteza mood na ikawa mwisho wa shughuli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom