Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Nina mke mmoja ...
Mama yangu mzazi alikuwa aninambia kuwa nisije nikaoa mke zaidi ya mmoja. (baba alikuwa na wanawake wengi)
Majuzi nimekuwa kwenye urafiki na mwanamke hivi .. katika maongezi, akanambia kuwa anaishi peke yake. Watoto wake wapo kwa baba yao. Maongezi yetu yanaelekea kwenye kuanzisha mahusiano ya karibu na kuoana (japo hatuja-do)
Najiuliza mara mbili mbili - niendelee kuwa mume wa mke mmoja au mme wa wake wengi?
Wazoefu wa mahusiano naombeni ushauri.