Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
ndugu kuna mwanamke nilikuwa nae kama miaka 3 ila ghafla akanipiga kibuti moyo ukaumia sana sababu sikumkosea kitu sasa kanirudia tena moyo wangu una nisukuma nizae nae tu sababu tayari na mchumba so nataka nizae nae tu ili nisimsahau