Demu kaja gheto kaniibia laki moja na kumi but anataka nimsamehe anadai shetan alimpitia

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi waungwana

Kuna manz mmoja fulan hivi ni dem wangu kama kwa mda wa week tatu hivi yaan tumedum kwenye uchumba kwa week tatu sasa lakin alichonifanyia sijakielewa kabisa aisee

Juz alikuja gheto kufua sasa wakati anafua mimi nikawa nimetoka kwenda kumununulia chai; kumbe wakat nimeenda kumunulia chai ndo mda ambao aliamua kunifanyia umafia wa kutosha alisach kila sehem had akakutana na kidinda changu cha laki tano na nusu kwenye hizo laki tano akachomoa kama laki moja na kumi then akakausha

Mimi nimetoka zangu kumununulia chai sina hili wala lile nikampa chai akanywa then nami nikamnywa yaan mikampiga machine then akaenda kwao

Sasa leo nahesabu mpunga wangu si nimekuta umepungua ndo nikaamua kumnyokea kwa phone

Kakubali kabisa kuwa ni kweli alichukua lakin et ni shetan tu alimpitia

Yaan had mda huu sielewi cha kufanya kabisa sijui kama huyu ni mtu mwema au ni nyoka kwangu

Nakuja kwenu waungwana mnishaul iv huyu dem atakuwa ananifaa kweli au ni joka?

London boy
 
Arudishe na riba kwanza ndo uje uombe ushauri tena.
 
Inaonekana mkuu unamkono wa birika, hapo solution yake ni kumpa hela tu. Maneno mawili tu yanatosha kumuadabisha huyo manzi yako nayo ni MPE HELA.
 
Back
Top Bottom