Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
Hakuna kitu kinaitwa single maza.ni single parent.eti ukizaa kama hujaolewa unaitwa single maza.kwani ukiolewa unakuwa double maza?
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulea ni kulea tu uwe na ndoa au single wajibu wa mzazi kwa mtoto upo pale pale tuache kupeana majina na vyeo visivo na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app