Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naongea na wewe uliyeachana na mwenzi wako wa kwanza na kuoa au kuolewa tena. Nakujulisha kuwa huyo mke/mume uliye naye sasa sio wako mbele za Mungu — unazini. Katika dunia ya sasa ambapo talaka...
6 Reactions
104 Replies
4K Views
Mimi ni kijana in early 30s, financially doing fine . Fantasy yangu ni kuwa in sexual entanglement na mshangazi( age 34- 54). No relationship only to fullfil each other’s sexual needs . Sihitaji...
3 Reactions
7 Replies
833 Views
Wakuu, mshangazi wangu alifuma sms za pisi nyingine whatsapp, amenipa kichapo heavy yaani nyie acheni tuu
13 Reactions
84 Replies
3K Views
Mke wangu Mimi nilimkosea kwa kumwambia yeye ni Mfupa na ngozi tu hana nyama kisa ni Mwembamba akaninunia sana mpaka mimi nikaumia nikaona nimefanya Dhambi kwasababu hakujiumba yeye kuwa Mwembamba...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
NDOA INAPANGWA NA MWANAMKE SIO MWANAUME Kauli hii inaweza kukushangaza kidogo ila ngoja nikufafanulie, Mwanamke ndiye anaepanga ndoa na sio mwanaume, hii inamaana gani!!! Maana yake ni kwamba...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Love is beautiful, but maintaining a strong relationship takes effort, understanding, and respect. Are you struggling to connect with your partner, or do you want to make your love even stronger...
1 Reactions
3 Replies
654 Views
Ndugu salaam.. Miaka hiyo ma genz wa 90's watakua wamezeeka sana Na miaka hiyo ma genz wa 2000's watakua wazee wa makamo huku wadogo zao wa 2010 wakiwa ndiyo wa baba na wa mama wa kuwaomba...
4 Reactions
11 Replies
501 Views
Kuna siku nilikuwa nachat na mdada flani mwenye pesa zake, lakini ana ndoto za kuolewa na mzungu. Hivyo anatumia muda mwingi kwenye online dating platforms akitafuta bwana wa kizungu. Katika...
29 Reactions
123 Replies
22K Views
Kama title inavyojieleza Maskani naishi na binti wa 2005 yapata miezi 7 sasa ni ile sogea tukae Mwanzo tulikua vizuri furaha na upendo ulitawala, nilimpa huduma zote mtoto kanawiri Mwezi wa 6...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Amebarikiwa mwanamke anayerudi nyumbani kabla jua halijazama na kupika chakula Cha mumewe,hii ni Kulingana na kikao Cha wanaume.Lakini wanawake hao wamekuwa adimu sana zaidi ya almasi za...
6 Reactions
120 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Kwa kweli sisi wengine tukiachana ndio tumeachana moja Kwa moja. Hakuna kitu ambacho kinaniudhi na kunifanya niwe mkali kama binti niachane naye halafu baada ya miaka miwili aniletee...
19 Reactions
70 Replies
5K Views
Kama ni kweli hawa watakuwa binadamu wa namna gani?!!! Inakuaje watu saba wamuingilie mtu, tena kinyume na maumbile halafu anakenua tu?!! Hiyo double anal penetration (dap) nayo sielewi...
1 Reactions
10 Replies
730 Views
Wadau. Nimeota demu wangu amevishwa pete ya uchumba na jamaa askari polisi na kwamba yeye ndiye alimtoa bikra. Kwamba demu anampenda sana mshikaji. Mtu mmoja akahoji mbona anaavaa pete ya...
2 Reactions
15 Replies
767 Views
Yaani limeomba pesa jana kuwa lina shida nayo. Kwa uungwana hata sikuliuliza shida gani. Na lina fanya kazi. Nimetuma 300,000 halisemi hata asante ila linalalamika sijatuma ya kutolea. Hii ndi...
78 Reactions
228 Replies
9K Views
Heshima kwenu marafiki wote wa humu mnaotoka pande hizo bila kumsahau kaka Mwita Maranya.. Katika mishe mishe za kusaka ngawira maisha yanatufikisha sehemu mbali mbali.. Ijumaa ya iliyopita...
9 Reactions
69 Replies
10K Views
Habari za wakati huu wanajamvi. Kila mtu ana matamanio yake linapokuja suala la totoz, ila hizo totoz wakati mwingine hua zinavutia kwa nje tu. Akikuvulia nguo mwili unaishiwa pawa kabisa, na...
3 Reactions
6 Replies
708 Views
Hivi karibuni nimezinguana na michepuko yangu mitatu; na kisababishi kikuuu ni katika kuomba salio. Nimekuwa nikiwajibu, ''sina salio na ata wakitaka kuniacha, waniache waendelee na maisha...
13 Reactions
147 Replies
3K Views
WADAU ZA MUDA MREFU, TUPO PAMOJA. BACK TO SQUARE ONE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:wink2: LEO MI NINA SWALI? NATAKA KUJUA UPI NI MUDA MZURI WA KUKAA NA MCHUMBA THEN MKAOANA, NA JE KATIKA UCHUMBA KUNA...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
La hasha labda nianze wimbo wetu ule mwamba wenye imaraaaa kwako nitajificha ...loh wapendwa wanandoa yesu peekee ndie mwamba wa kuificha ndoa zetu na familia yetu..bila yesu unaweza kuwa unahisi...
4 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni miaka minne sasa tangu mimi Zero IQ niamue kuoa ili nitulie kuyajenga maisha, Miaka hii yote minne nimepitia mengi Of course naweza kusema kwamba nimejitahidi kulea Familia yangu , Kwa maana...
27 Reactions
58 Replies
3K Views
Back
Top Bottom