Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Za saizi wakurugenzi? Nimesononeka sana usiku wa leo,yani kuna pisi kali nilikua nimeipanga jana ikaingia kwenye mfumo,cha ajabu usiku kucha nimeishia kupiga viwili tu. Ni uzee au ndo nimerogwa?
7 Reactions
30 Replies
1K Views
LINDENI WATOTO WENU LA SIVYO WATAISHIA KUFANYIWA USODOMA Ukiwa masikini hawa wanawake wa mjini wanakuita mdhaifu ila ndio hao hao wa kwanza kufurahia kampani ya hawa chapati
14 Reactions
563 Replies
17K Views
Nina ndoa ya miaka 8 hatujapata Mtoto tumezunguka hospitali nyingi tunaambiwa hatuna Shida tukashauriwa tujaribu dawa za kienyeji. Kuna jirani yangu rafiki wa mke wangu akamweelekeza Kwa mkunga...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Alivyokua 20's, kwenye kilele chake cha uzuri, bado hajaguswa. Wanaume wenye malengo na wanaothamini thamani yake walimfuata, lakini jamii iliwasakama wanaume hao kwa kuwaita fataki, wahalibifu na...
26 Reactions
48 Replies
2K Views
Habari za jioni wana MMU Moja kwa moja kwenye mada. Nilisema eneo langu kuu litakuwa ni ndoa na mahusiano Sasa kuna huu usemi wa wanawake kuwa eti hawajui wanaume wanataka nini. Swali hili huja...
0 Reactions
10 Replies
774 Views
Wakuu, Wengi wetu wanapenda kuchomeka tu bila kufuata protocal za kujamiiana,wengi wa wapenzi wetu huumia wakati wa kuchomeka na hawasemi. Wengi wetu pia huwa hawatoi taarifa kuwa wanakaribia...
5 Reactions
12 Replies
667 Views
Habari ya kwenu. Natafuta mchumba wa kuoa mwenye vigezo hivi. Mwenye umri miaka 40 kwenda juu Jinsia mwanamke Mkristo Asiye na uwezo wa kuwa na watoto Mwenye tabia nzuri. Ukiwa na tabia mbaya...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari za mchana. Moja kwa moja kwenye mada. Leo nimekumbuka jambo nikaliunganisha na ulimbukeni. Ili kupata uhakika wa nilichokuwa nawaza, ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp)...
9 Reactions
58 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinasema wadau Mimi ndoa imenishinda fikiria huyuu mwanamke tumezaa watoto 2 lakini asaivii kabadilika ety akitoka kuoga mimi ananiambia nitoke nje nitamchungulia hii ni...
21 Reactions
79 Replies
3K Views
Hii nimeisikia kwenye kijiwe fulani, jamaa walikuwa wanabishana kuhusu kabila lenye wanaume wanaokubalika kirahisi na wanawake. Jamaa walikiri kuwa wanaume wa kikurya wana mvuto sana, wapole pia...
2 Reactions
143 Replies
29K Views
Most men that claim to be loyal aren't really that, they're just unwanted. It's easy to claim you have "self control" when no women are throwing themselves at you Rather you're not disciplined...
3 Reactions
3 Replies
456 Views
Kigiza hicho, haya nimeachana na siasa nimerudi kwenye mada zetu pendwa. Wiki hii nimemchangamsha shemeji yenu na style mpya . Mikao inaitwa “nilie juu ya meza” na “naokota hela uvunguni” Mkao...
10 Reactions
82 Replies
4K Views
Rika lenu limo ndani ya gap la miaka mitatu. Ni age mates, Kupendana hakuna tatizo lakini utaweza kuongoza bila kuonekana kama mwenza tu wa kawaida badala ya kuonekana kama kiongozi wa nyumba ?
15 Reactions
160 Replies
6K Views
Watu wengi huishi kwa kubeba chuki, kinyongo, wivu,hisia za kisasi dhidi ya marafiki zao,wenza wao,ndugu zao n.k kwa sababu wao walijitoa sana kuwafurahisha na kuwaridhisha wapendwa wao lakini...
6 Reactions
8 Replies
610 Views
Tarehe 3 Julai 2025 dunia ilipoteza nyota mkubwa wa Liverpool, Diogo Jota na kaka yake André, kwenye ajali mbaya ya gari. Walipokuwa wakirudi Uingereza kwa maandalizi ya msimu mpya, tairi...
11 Reactions
13 Replies
991 Views
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo? Wewe vipi mdau ulishawahi
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Utajuaje Mwanamke kakuweka Kiganjani? Kwenye mapenzi Viganja si vya Mikono bali ni hivi👇🤣🤣 Ukishawekwa Mkao huu jua umekwisha😂😂
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Dear son, Never touch a married woman. Never flirt at work. Never mess with your boy’s ex. Never entertain single moms. Never look twice at your brother’s girl. Never chase older...
11 Reactions
16 Replies
936 Views
Swali langu ni hilo tu,mtu ambaye ulishamtumia picha/video zako ukiwa uchiiii na unajua bado anazo, unaweza vipi kuanza kumdhalilisha mbele za watu?
7 Reactions
66 Replies
2K Views
Jamani this is my very silly question, nisije nikawa natongozwa na katoto ka miaka ya elfu mbili mie... In this age of artificial intelligence we have to be more than smart.
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Back
Top Bottom