RASCO BOY
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 428
- 485
Wadau Leo nimepiga show ya masaa 5 na demu fulani hivi Nursey lakini cha ajabu akuuliza Kondom nilipotaka kuzama kavu kavu yeye alitulia Tu wala akupinga
Mwenyewe nikashtuka nikava Ndom fasta kabla shetani ajafanya yake sasa nilipofika hatua ya kukojoa Ndom ikapasuka nikachomoa fasta na kuwai kuosha machine
Je hapa kama Demu ana HIV wadau na mm naweza kupata maanbukizi au Lah....pia kwenye beg alikua na vipimo vya HIV akaniambia nikupime nikamwambia tupime wote kakataa anataka nipime mm tu anadai yeye kapima jana yuko fresh ila nina mashaka kwa nini kakataa kupima.....Pale na mm nijue matokeo yake Aisee sijui itakuaje
Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya