Mahaba niuwe

Mahaba niuwe

ANDREW JOSEPH

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Posts
421
Reaction score
405
Jamani nisaidieni nimempenda binti ambae kila nikimgusia anasema anamchumba hawezi na hajawahi kufikiri kama ipo siku atanipenda

Kuna wakati mimi huwa naamua kumpotezea ila akiona nimepiga kimya ananitafuta tena sasa nashindwa kuelewa huyu mtu anampango gani na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo hana lolote. She just loves the attention and validation she gets from you.

Achana nae, utajipotezea muda.
 
Sasa cha kufanya ni kukausha hata kama yeye akikutafuta hamna kitu apo

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Kuna mawili either anae mtu kweli sema amependa unamvomhangaikia au hana anakupima akuone pumzi yako

Akili kichwan mwako
 
siku akikufata tena mwambie ndo umetoka kumpigia nyeto hvy huna haja nae tena.
 
Anakupenda huyo.....ckia, unatakiwa usimwambie tena kama wamtaka..mwache na yeye aumie roho yakee yaan uwe busy akija karibu nawe mpotezeee muumize rohoo.. yaan cc wanawake tukipenda mahali halafi tukachuniwa tunaumia kweli tunajitahidi kufanya mitego yoote ili tumpate tunayemtaka.. sasa kaza buti iko siku ayakuomba mechi. Na akikuombaa hata kama hauna nyege wewe mkamue tuu huyoo tena mpe show heavy adate nawe.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Aisee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ww jifanye kama humjali hakika atakuwa ye mwenyewe tu
 
Anakupenda huyo.....ckia, unatakiwa usimwambie tena kama wamtaka..mwache na yeye aumie roho yakee yaan uwe busy akija karibu nawe mpotezeee muumize rohoo.. yaan cc wanawake tukipenda mahali halafi tukachuniwa tunaumia kweli tunajitahidi kufanya mitego yoote ili tumpate tunayemtaka.. sasa kaza buti iko siku ayakuomba mechi. Na akikuombaa hata kama hauna nyege wewe mkamue tuu huyoo tena mpe show heavy adate nawe.
Aisee nikikupata kama wewe safi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom