Mwanaume mashine au pesa?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,834
Napenda kuwauliza wanawake wa humu javini.
Kati ya hao tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari wewe chaguo lako ni lipi?

Nimekutana na maelezo kadha wa kadha kutoka kwa wanawake tofauti tofauti kwamba.
Asilimia kubwa ya wanaume wenye mshiko jogoo hawiki vizuri, kiasi cha kutumia dawa za ku boost ili japo kidogo engine iwake.

Maswala haya yamesababisha kero kubwa sana ndani, yaani kwenye unyumba. Mwezi wake akiwa anahitaji sababu zinakuwa nyingi na kujifanya jamaa yupo busy au anatafakari issue za miradi yake. Kitendo hiki kimewafanya wanawake walio wengi kujipatia vijeba vya pembeni ili viweze kutimiza haja zao. Huku vikipewa vipesa vya hapa na pale.

Nasikia kwamba mijeba hiyo yenye pesa inapenda kuhonga sana wanawake na kutunyima fursa sisi wawekezaji wa uhakika. Hiyo mijamaa inamwaga pesa nyingi na mwisho wa siku haifanyi chochote. Mijeba hiyo ninavyosikia eti yenyewe ni kutanzama tu na kushika shika kisha basi issue inaishia hapo mtoto wa watu anaambiwa nenda huku akipewa minoti minono.

Kitendo hiki kimewafanya many shes kuwa na nyodo nyingi huku wakiringia walichopewa na sisi kunyimwa. Ma toys na vi mbwa vile vyeupe vya kizungu ndivyo vinakuwa rafiki wa karibu kwao.

Nikawa naulizia sana hivi kwa nini mashine nyingi hazifanyi kazi? Nikapata taarifa za hapa na pale ambazo siyo za uhakika eti, unywaji wa pombe aina fulani fulani unafanya mambo haya kugeuka kituko mbele ya warembo. Na ili kujifariji itabidi jomba amwage mipesa na kuwanyima wamiliki wa viwanda kuwekeza na kuzitumia mashine zao vizuri.

Mimi siyo mtaalamu sana labda mwenye details zaidi anaweza kufafanua vizuri ili tutafute namna ya kutatua tatizo hili.
 
Hahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.

Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.
Hiyo bure kabisaa tayari inaonyesha kwako mwanaume ni pesa
 
Hahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.

Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.
Madereva wa home na shamba boy watajichukulia mzigo kama kawa au?
 
Mwanaume pesa jombaa mashine mpelekee Magu Tanzania ya viwanda hii.
Huwa nawaza sana raha ya kuwa na pesa ni nini zaidi?
1. Kunywa pombe sana
2. Kusafiri kwenda kila nchi
3. Kutumia ulichopewa na Mungu kwa raha zako.
Au ni nini faida ya kuwa na pesa huku fimbo hutembezi?
 
Huwa nawaza sana raha ya kuwa na pesa ni nini zaidi?
1. Kunywa pombe sana
2. Kusafiri kwenda kila nchi
3. Kutumia ulichopewa na Mungu kwa raha zako.
Au ni nini faida ya kuwa na pesa huku fimbo hutembezi?
Ukiwa nazo mkuu ndo utajua raha zake.Kwa sasa huwezi kujua raha ya pesa.
 
Ukiwa nazo mkuu ndo utajua raha zake.Kwa sasa huwezi kujua raha ya pesa.
Raha ya pesa nini ndugu kama umebaki jina tu ndugu? Yaani nyoka anabaki kuwa jina la nyoka tu hana hata sumu. Ndugu nasikia hiyo issue inafanya uwe na stress kiasi cha kufa mapema. Check wazee akina Mwinyi 92yrs bado mzee anakimbiza kinoma.
 
KWA HAPA DIAMOND ITABIDI ATUSAIDIE. ALIPOKUWA TANDALE ALIKUWA ANASUMBULIWA KAMA SASA AU WALIKUWA WANASEMA ANA MDOMO MBAYA! JE MASHINE YAKE UFANISI VIPI!!
 
Raha ya pesa nini ndugu kama umebaki jina tu ndugu? Yaani nyoka anabaki kuwa jina la nyoka tu hana hata sumu. Ndugu nasikia hiyo issue inafanya uwe na stress kiasi cha kufa mapema. Check wazee akina Mwinyi 92yrs bado mzee anakimbiza kinoma.
Kwani wenye pesa hawatembezi mashine au?
 
Hahaaa. Vinaenda pamoja aisee hakuna aliyemzidi mwenzie.

Ukiwa na mashine halafu huna pesa ni bure na ukiwa na pesa huku mashine mbovu ndio bure kabisaaaa.

Sasa hapo 80% ipo Kwa mashine
Pesa haziishag
 
Mwanaume mashine bhana
Pesa tunaztafta usku na mchana
24/7
 
Back
Top Bottom