Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanasiasa wa upinzani ni waongo, wazushi na wachonganishi sana. Nasema hivi kwasababu walituaminisha kuwa Rais wetu mpendwa asingeweza kudeal na mafisadi .. Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeoza...
0 Reactions
5 Replies
845 Views
Hey guys wazima, Hopefully mko vizuri, Well kuna kisa kimetokea ndani ya family yetu ni mambo ya kifamilia zaidi but kuna wakati it's better ukipata infinity thinking, ukipata ushauri kwa watu...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
-If a woman have sex with a man, his DNA lives in her forever. A research by university of Seattle USA has proven that. There is now a greater understanding of why God asks us not to have sex...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Jana nimepata mashta kwa rafiki yangu wa kiume anasema kwa sasa amechoka na hajui afanyenye hana furaha na ndoa yake kwani anapokua katika mechi na mke wake Bao la kwanza kwa uchache huchukua...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Yaani mwanamke mlieishi nae zamani au kusoma wote na mlikuwa karibu kama hukutupiaga ndoano kipindi hiko Alisha badili mazingira kuja kumpata huwa ngumu sana,maana hukutana na wanaume wengine na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Jambo hili linanisumbua sana akili yangu limeanza siku nyingi lakini lilizidi kuanzia 2012 mwezi wa 3,mwaka ambao dada etu mkubwa alifariki lakini kabla ya kufariki aliugua miezi kadhaa Alizidi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nakuasa wewe mtanzania unaefanya huu ufirauni kaburi linakunyemelea taratibu iwapo hutabadilika mapema ukimwi utakuchukua haraka sana. Nauimizwa sana na hivi vitendo vichafu vinavyo haribu jamii...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu instagrm huko nmeona kuna kampeni ya wanawake kufuta machozi ya wanawake wenzao. Kwamba mwanamke akija tongozwa na mume wa mtu akatae, sasa controversy ipo kwamba, mwanaume...
11 Reactions
376 Replies
29K Views
1.Oga maji ya baridi kisha ingia chumbani, 2.Zima Tv&Redio ili upate utulivu zaidi, 3.Kaa/lala kitandani, 4.Vaa under wear,kisha funika kifua chako na shuka.. 5.Chukua Biblia soma Yohna3:3------...
22 Reactions
38 Replies
20K Views
Leo nilitaka kuelezea hisia zangu juu ya binti fulani humu ndani. Ila daah,ghafla baada ya dakika kama 20 hivi takribani nikaona uzi haupo ila sio mbaya nitakutana nae tu kitaa. Inaonekana kuna...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huwa hawatongozwi ama kutokana na ' Unyeti ' wa Fani zao au kwa ' Ukomavu ' wa Sura na Maumbile yao lakini ikitokea wakabahatika Kutongozwa na kuwa na Mahusiano huwa wanakuwa na tabia ya '...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Baada ya kutumia mbinu zangu mbalimbali hatimae nimegundua shemeji yenu alinisaliti na baada ya kumuuliza kwa upole kabisa huku nikiwa nalengwa na machozi imebidi awe muwazi tu ni kweli...
3 Reactions
62 Replies
6K Views
Yaani no credit for that my brother, fanya tu kama charity. Tenda wema wende zako.
3 Reactions
16 Replies
2K Views
[emoji1318] WAKUU, TUNAKUMBUSHANA TU JAMANI. MSHAHARA WA/KIPATO CHA MWANAUME NI ISHU NYETI SANA, NI SIRI YA MHASIBU NA/AU MHUSIKA. KUMWAMBIA MKEO MSHAHARA WAKO/KIPATO CHAKO (WOTE/CHOTE) NI...
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa mara nyingine Tena Lao nimetoka kupiga show na mtoto mrembo cheusi mangara aisee show yake si ya kitoto.... Ila cha kushangaza kwa nini hawa mabinti wote ninao kutana nao baada ya Romance ya...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
1 Reactions
102 Replies
18K Views
1.Oga maji ya baridi kisha ingia chumbani, 2.Zima Tv&Redio ili upate utulivu zaidi, 3.Kaa/lala kitandani, 4.Vaa under wear,kisha funika kifua chako na shuka.. 5.Chukua Biblia soma Yohna3:3------...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Eid mubarak! Naomba niende kwenye maada moja kwa moja nilikuwa na mpenzi ambae tulipendana sana just like romeo and juliet japo mwenzangu...
5 Reactions
138 Replies
15K Views
Dhaa! Kweli wanawake hampendani Ni ivi Kama mlikua hamjui eleweni sasa kama unarafiki yako wa karibu yupo single alafu mda wote ukiongea nae kuhusu mahusiano anajifanya hataki kusikia hizo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…