Wanasiasa wapinzani ni waongo kupindukia.

moniccca

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,383
Reaction score
3,287
Wanasiasa wa upinzani ni waongo, wazushi na wachonganishi sana. Nasema hivi kwasababu walituaminisha kuwa Rais wetu mpendwa asingeweza kudeal na mafisadi ..

Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeoza lkn Magufuri amefanya kazi haswa kuisafisha .

Siku hizi tunaheshimiana hakuna anayejinasibu kuwa yeye ni zaidi ..

Hata wapinzani uongo na uzushi wao umefika mwisho.

Kazi kubwa kwa wapinzani kwasasa ni kutetea ufisadi..

Sitaki kuwaamini tena waropokaji maana hawana jipya .. Wamebaki kupigania matumbo yao .

Nangoja povu letu maana kuna watu humu wapo kutetea kila neno toka kwa mavuvuzela wapinzani .
 
toa uchafu wako peleka huko. watu tunajiliwaza huku we unatuletea tena mastress yanini? ungekuwa karibu ningekutwanga kwenzi! ohooo!
 
Wanasiasa wa upinzani ni waongo, wazushi na wachonganishi sana. Nasema hivi kwasababu walituaminisha kuwa Rais wetu mpendwa asingeweza kudeal na mafisadi ..

Ukweli ni kwamba nchi ilikuwa imeoza lkn Magufuri amefanya kazi haswa kuisafisha .

Siku hizi tunaheshimiana hakuna anayejinasibu kuwa yeye ni zaidi ..

Hata wapinzani uongo na uzushi wao umefika mwisho.

Kazi kubwa kwa wapinzani kwasasa ni kutetea ufisadi..

Sitaki kuwaamini tena waropokaji maana hawana jipya .. Wamebaki kupigania matumbo yao .

Nangoja povu letu maana kuna watu humu wapo kutetea kila neno toka kwa mavuvuzela wapinzani .
mbona huyu ni JF expert member ina maana haelewi kuwa hili ni jukwaa la malavidavi daaaah nimeamini kuwa ktk kila sekunde ndani ya dakika basi kuna uchizi au umental fresh hutuingia wanadamu na ndio maana unakuta wanadamu wengi wanaongea peke yao,tumuombee Monicca
 
Back
Top Bottom