Kwenu wadada: Ukiwa kwenye mahusiano alafu rafiki yako wakaribu yupo single na hizi dalili umeziona kwake jipange upya.

Ultimate

JF-Expert Member
Nov 29, 2016
713
1,738
Dhaa! Kweli wanawake hampendani
Ni ivi Kama mlikua hamjui eleweni sasa kama unarafiki yako wa karibu yupo single alafu mda wote ukiongea nae kuhusu mahusiano anajifanya hataki kusikia hizo habari, ukiwa nae alafu BF wako akaja yeye anaondoka huku akitabasam
NAPENDA KUKUTAARIFU NENDA KAJIPANGE UPYA HAPO HUNA CHAKO UNAPOTEZA MDA
 
Back
Top Bottom