Usijiroge kumwambia mkeo mshahara/kipato chako

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
3,643
Reaction score
4,185
[emoji1318]
WAKUU,

TUNAKUMBUSHANA TU JAMANI.

MSHAHARA WA/KIPATO CHA MWANAUME NI ISHU NYETI SANA,

NI SIRI YA MHASIBU NA/AU MHUSIKA.

KUMWAMBIA MKEO MSHAHARA WAKO/KIPATO CHAKO (WOTE/CHOTE) NI SAWA NA KUMUUZIA ADUI RAMANI YA KAMBI YAKO WAKATI WA VITA KWA BEI NAFUU!!!

MAANA'KE KINACHOFUATA BAADA YA HAPO-
SUBIRINI MTAONA PICHA LINAVYOENDELEA!!!

ZINGATIO:
NI UBOYA WA KIWANGO CHA FLYOVER KWA MWANAUME KUANIKA KILA KITU KUHUSU KIPATO CHAKO KWA MKEO,

KWA WANAUME MLIOFANYA HIVYO MMETUAIBISHA WENZENU VYA KUTOSHA,
NA MNAPASWA MTUOMBE RADHI KWA KUVUJISHA MAMBO YA KIUMENI.

*NAJUA NI WACHACHE SANA WALIONIELEWA VEMA.*

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Unapotoka, na kupotosha wenzako kama umefika hatua ya kuoa bila kulazimishwa wala kushurutishwa na sababu nyinginezo, zaidi ya mapenzi ya dhati kati yenu nashauri share kila mnachopata na kuweka malengo ya pamoja, na utapata maendeleo na baraka tele...kama upo kwenye ndoa ambayo mnaviziana ni bora muachane kuliko kupotezeana muda, mkeo ni mwili wako, msiri wako, muhifadhi wako, mrithi wako, furaha yako, msaidizi wako n.k...tena ninashauri mpe mkeo mshahara wako mpange budget

na je ushauri kama huu akipewa baba yako unapendekeza aufuate?

jombii usioe kisa wenzko wanaoa au unataka kufanyiwa kazi za nyumbani na kuzalisha, oa kwa upendo na mpange mipango maana mkiishi kwa upendo mtapata baraka

hata hao watoto wako watakuacha ndani ya miaka 25 - 30 nao wataenda kuishi na mke/mume na utabaki wewe na mkeo tuu. Kama unachukulia kuoa ni vita na mkeo ni adui yako mkuu hautafanikiwa katika ndoa bora ubaki single

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji121]
ND'O TATIZO LA KUKAA GIZANI,

JIWE LINAPORUSHWA LINAKUDUFUA MOJA KWA MOJA!!!

BILA SHAKA WEWE UNAPASWA KUTUOMBA MSAMAHA WANAUME WENZIO KWA MISTAKE ULIYOIFANYA!!!

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Sikumbuki ni lini mara ya mwisho nilipenda? Ila nina wanawake kama wanne moja ana mimba na kila mmoja anahudumiwa kwa wakati wake. Sioni cha kunishawishi kumpa siri kipato changu kiumbe kinachonistarehesha!
 
Unapotoka, na kupotosha wenzako kama umefika hatua ya kuoa bila kulazimishwa wala kushurutishwa na sababu nyinginezo, zaidi ya mapenzi ya dhati kati yenu nashauri share kila mnachopata na kuweka malengo ya pamoja, na utapata maendeleo na baraka tele...kama upo kwenye ndoa ambayo mnaviziana ni bora muachane kuliko kupotezeana muda, mkeo ni mwili wako, msiri wako, muhifadhi wako, mrithi wako, furaha yako, msaidizi wako n.k...tena ninashauri mpe mkeo mshahara wako mpange budget

na je ushauri kama huu akipewa baba yako unapendekeza aufuate?

jombii usioe kisa wenzko wanaoa au unataka kufanyiwa kazi za nyumbani na kuzalisha, oa kwa upendo na mpange mipango maana mkiishi kwa upendo mtapata baraka

hata hao watoto wako watakuacha ndani ya miaka 25 - 30 nao wataenda kuishi na mke/mume na utabaki wewe na mkeo tuu. Kama unachukulia kuoa ni vita na mkeo ni adui yako mkuu hautafanikiwa katika ndoa bora ubaki single

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemalizaa!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji121]
ND'O TATIZO LA KUKAA GIZANI,

JIWE LINAPORUSHWA LINAKUDUFUA MOJA KWA MOJA!!!

BILA SHAKA WEWE UNAPASWA KUTUOMBA MSAMAHA WANAUME WENZIO KWA MISTAKE ULIYOIFANYA!!!

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
Bob, kwanza mimi nimeoa na nimeishi maisha ya kishenzi sana ndani ya ndoa ikiwemo hayo ya kuficha kipato...niseme tuu hamna faida, zaidi ya kuitapanya iyo hela uliyoificha na huwezi kuitumia kwa amani zaidi ya pombe na wanawake, hata maendeleo tuu kufanya utafanya kwa kujificha maana huna maelezo ya wapi hela ya kujenga unatoa wapi au gari jipya umenunuaje...na ukidanganya hapo ndio mwanzo wa mabalaa mengine hata mwanamke kuanza kujiongeza na kufanya mambo yake mengine binafsi maana anaona hapa hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani inatagemea na mwanamke gani umeoa. Kuna aina flani ya wanawake huwa wakijua mshahara wako huwa wanakua vichaa.
Wanaupigia mahesabu hata kabla haujatoka... wanaupangia mahesabu mshahara wako.. atachukua kiasi gani na ww utabaki na kipi.
Yeah shidah ndio hapo, unakuwa huna amani na jasho lako..

Lakin kuna wengine wanakupa ushaur mzuri jinsi ya kutumia huo mshahara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapotoka, na kupotosha wenzako kama umefika hatua ya kuoa bila kulazimishwa wala kushurutishwa na sababu nyinginezo, zaidi ya mapenzi ya dhati kati yenu nashauri share kila mnachopata na kuweka malengo ya pamoja, na utapata maendeleo na baraka tele...kama upo kwenye ndoa ambayo mnaviziana ni bora muachane kuliko kupotezeana muda, mkeo ni mwili wako, msiri wako, muhifadhi wako, mrithi wako, furaha yako, msaidizi wako n.k...tena ninashauri mpe mkeo mshahara wako mpange budget

na je ushauri kama huu akipewa baba yako unapendekeza aufuate?

jombii usioe kisa wenzko wanaoa au unataka kufanyiwa kazi za nyumbani na kuzalisha, oa kwa upendo na mpange mipango maana mkiishi kwa upendo mtapata baraka

hata hao watoto wako watakuacha ndani ya miaka 25 - 30 nao wataenda kuishi na mke/mume na utabaki wewe na mkeo tuu. Kama unachukulia kuoa ni vita na mkeo ni adui yako mkuu hautafanikiwa katika ndoa bora ubaki single

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu, anayeshindwa kumwambia mkewe mshahara wake(wanauita siri) basi kakosea kuoa.Mbona sehemu za siri wanaonesha?Na zenyewe wasiwaonyeshe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom