mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Jana nimepata mashta kwa rafiki yangu wa kiume anasema kwa sasa amechoka na hajui afanyenye hana furaha na ndoa yake kwani anapokua katika mechi na mke wake Bao la kwanza kwa uchache huchukua dakika 30 ila ili avunje dafu lazima mwanamke achume mboga ila hua bado jongoo anagoma kujikunja akiamua kua andelee kucheza roundi ya pili basi ndio shida hafiki hata kwa masaa mawili mke wake hulalamika kua hawezi kumfikisha kwa kuchoka hajawahipo kuenda bao mbili kwa mke wake na sasa wako na mwaka na nusu toka waowane mwanaume hulalamika na kulala na maumivu na mwanamke hujipoza kwa feni imekua mwanamke anataka kuondoka
Kazi imekua ngumu kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi imekua ngumu kwake
Sent using Jamii Forums mobile app