Leo nilitaka kuelezea hisia zangu juu ya binti fulani humu ndani. Ila daah,ghafla baada ya dakika kama 20 hivi takribani nikaona uzi haupo ila sio mbaya nitakutana nae tu kitaa.
Inaonekana kuna sehemu nilikosea. Sirudii tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kuna sehemu nilikosea. Sirudii tena.
Sent using Jamii Forums mobile app