Utake usitake ushoga utakuingiza kaburini

jf user

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
777
622
Nakuasa wewe mtanzania unaefanya huu ufirauni kaburi linakunyemelea taratibu iwapo hutabadilika mapema ukimwi utakuchukua haraka sana.

Nauimizwa sana na hivi vitendo vichafu vinavyo haribu jamii ya kitanzania. Sometimes mtu unatamani MUNGU ashushe moto awachome washiriki wote its so bad.

Wanawake wapo wa kumwaga wa kila aina but why preparing your death in such a way? the more you struggle the more you face death.

This is the last warning for you Tanzanians who do gay-ism, it's the matter of time if wont change now the hell is likely to be your home "Resting place" .
 
It's dangerous unasikia tumezika hao watu and you well minded man unakimbilia huo ushetwain?
What you deserve?
Please Honorable Doctors Psychologist please help this victim's of gay-ism to get out of gay-ism.
Please wanna change their mind and attitude, i know you can, i appreciate you as well.
-Say no to gay-ism.
-Say no to death.
-save people.
-Save life.
-Prevent gays from HIV/AIDS and Cancer.

MUNGU Ni mwema, he is watching you.
 
Usipokuwa shoga hufi? Kama sio shoga huwezi pata ukimwi? Vp kama wao hawaamini uwepo wa Mungu.

Tatizo lenu mnapinga ushoga kwa hoja dhaifu mno na kudhani kila mtu anashare beliefs zenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaopingaga sana ndo watendaji wazuri wa hayo mambo! Elimisha watu waitoe CCM madarakani ama wajenge maviwanda achana na starehe za watu. Kama mtu kaamua kula tope shauri ake, kama kaamua kuliwa shauri ake. Kwanza hakuna dhambi kubwa wala ndogo.
 
Kuna kampeni kubwa ya kupigia chapuo mambo ya machukizo kwa Mungu (abominations) ikiwemo ushoga na kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile (kufira wanawake). Tamaa za kimwili hupelekea kutenda dhambi na mwishowe mauti, siyo kufa kimwili pekee bali kupata hasara ya roho na nafsi yako milele.
 
Me nadhani msijivalishe viatu vya Mungu kila mtu abebe fulushi lake we nani mpaka useme eti utaenda motoni as if unapajua vile .....ishi maisha yako mkuu ukimpendeza Mungu inatosha ila usijivike umungu kwa kuhukumu mashoga....
 
WASENGE WOTE WANAKUFA MAPEMA SANA!
HUWA HAWAFIKI MIAKA 35 WALAHI
USENGE NA USAGAJI NI LAANA KUU HAPA DUNIANI NA KIFO CHA MAPEMA NI LAZIMA WALAHI!
That’s all
 
Me nadhani msijivalishe viatu vya Mungu kila mtu abebe fulushi lake we nani mpaka useme eti utaenda motoni as if unapajua vile .....ishi maisha yako mkuu ukimpendeza Mungu inatosha ila usijivike umungu kwa kuhukumu mashoga....
Hiyo hipo wazi Unless husomi maandiko...Dhambi iloiharibu na kumfanya Mungu aichome sodoma na gomora ni suala la Ushoga . ..hii kitu Mungu anaichukia kupita kiasi.

Hata shetani hajawah kufanya ushoga.

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 
Back
Top Bottom