Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wapenzi wasomaji wa ukurasa huu wa MMU? Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea vizuri na mfungo wa Kwaresma kwa wale mnaofunga. Leo nimeona vyema Tuongee kuhusu wale...
29 Reactions
182 Replies
23K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
5 Reactions
257 Replies
22K Views
Asalaam Aleykum! Wakuu sipendi kuwachosha maana sisi watu wazima hatunaga habari za nikilala nakuota au nikinywa maji nakuona kwenye kikombe. Jamani kwakifupi ujana wangu nimeutumia vizuri...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Naomba ieleweke kwamba Sina lengo la kukashifu kabila la mtu ila ukweli lazima usemwe bila kijali watu wataupenda au la. Binafsi huwa sipendi mambo ya kuambiwa na huwa siyaamini maana najua hata...
4 Reactions
198 Replies
37K Views
Nimesikia mara kadhaa kuwa kuna baadhi ya wanawake ukiwa na mahusiano nao kimapenzi unaweza kuandamwa na mabalaa mbalimbali kama kufilisika,kufukuzwa kazi,kufungwa nk. Je kuna ukweli wowote katika...
1 Reactions
112 Replies
16K Views
SIFA ZANGU - miaka 27 -mkristo -mchaga -mwalimu -sina mtoto -mweusi -mwembamba -mrefu SIFA ZAKE -anahitaji mke -mwenye upendo wa dhati - mkristo -muajiriwa/amejiajiri -degree, masters, dr -umri...
10 Reactions
212 Replies
30K Views
Saikolojia ya mwanamke popote alipo kwenye mahusiano hasa wanawake kutoka bara la Afrika,wanaamini kuwa mpenzi au mume wake lazima amzidi kwa kila kitu Yaani kama ni elimu,pesa, kazi,maamuzi hivi...
21 Reactions
160 Replies
12K Views
Huu ndio ukweli halisi, ukiondoa wale matapeli na "wasiojulikana" Haiingii akilini Msichana mzuri (kwa mujibu wa vigezo mnavyoorodhesha) ukose mchumba au mume kwenye hadhira inayokuona na...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Kuna binti wa miaka 24 amekuwa mjeuri sana. Mpaka siku moja mama yake akaniita kuongea naye. Huyo Binti akaniambia "YA KWAKO YAMEKUSHINDA ACHANA NA MIMI SITAKI MAMBO YA KISE......, Akanipasha...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Ndege ilikua inatokea Tanzani kwenda kenya ilipofika mpakani mwa Tanzania na Kenya ndege ilianguka, Je majeruhi watazikiwa Tanzania au Kenya...?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naomba kama kuna Daktari yoyote mtaalam wa Meno unayemjua nielekeze ili akanifanye ' artificial ' mwanya katika hii ' mimeno ' yangu ili nami nipendwe na Warembo kama wale wenye ' natural ' mwanya...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habar wakuu? Mpenzi wangu ana mimba ya miezi minne but amekua na kiburi hatari. Akija ghetto hataki hata kuguswa titi ukilazimisha ananuna wiki nzima. Nilimwambia last weekend anisaidie hata...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mm ni mwanaume wa over 40 yrs. Nipo dar, natafuta mama aliyefiwa na mume anayehitaji kuliwazwa kisaikolojia na kimapenzi, pia sihitaji pesa zake, mimi ninazo zangu. Mwenye nia aje PM.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mnaogopa au aibu?kama Mtu Ana STD utajuaje?Hili Swali lilikuwa Kwenye IYANLA fix my Life show OWN African men walisema ndio zao.Imani model alisema hayo .Nikawauliza baadhi ya Wabongo walisema...
1 Reactions
100 Replies
11K Views
Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa...
2 Reactions
90 Replies
8K Views
leo nigependa kupata msaada juu ya hili tatizo..wana JF wenzangu najua kuna watu wana uelewa zaidi wanaweza wakatusaidia...hivi ni sababu gani zinazompelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa...
1 Reactions
178 Replies
34K Views
mambo naitwa moses mkristo naishi dsm,nna miaka 33,elimu yangu kidato cha sita ,sijabahatika kupata watoto,dini yangu mnyakyusa,urefu wangu 5.8 ft,mwili wastan,rangi maji ya kunde ,bado...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini Wakuu! Alijibwaga sofani kwa uchovu. Uso wake uliakisi hasira kali huku midomo yake ikiwa imepauka mithili ya mtu aliyekuwa amekula ubuyu wa dodoma. kichwa chake kilichokuwa kimesukwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za muda huu waungwana Mfano inapotokea mwanaume umeoa lakini una mwanamke mwingine wa pembeni na anajua fika kwamba umeoa ila anakubali kuwa hata mke wa pili ingawa wote wawili ni wakristu...
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Is it racism ?maana Mna beef sana na wake wa wazungu na sio wanaume waliooa wazungu.Tell me why mna chuki .Na nyie Mna nini kilichomzidi huyo mzungu ?
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…