Ukweli mchungu: Mwanamke kutafuta Mume/Mchumba mitandaoni ni kutuaminisha wewe ni "Kimeo"

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
3,896
12,686
Huu ndio ukweli halisi, ukiondoa wale matapeli na "wasiojulikana"

Haiingii akilini Msichana mzuri (kwa mujibu wa vigezo mnavyoorodhesha) ukose mchumba au mume kwenye hadhira inayokuona na kukuzunguka.
Kuja kwako huku kwa tusiokuona ni kutuambia kuwa wewe ni "Kimeo" umeshindwa kuuzika kwa jamii inayokuzunguka.
 
Hayo ni mawazo yako lazima tuyaheshim..mwezi unaweza mpata popote sio lazima akufate na kujitagaza sio sababu ya yeye kuwa kachoka.. wapo waliotulia na wameweka bango
Mtaani hakusomeki kabisa watu wanazeeka wakiwa wanajiona hivi hivi

Hasa wenye ndoto za kuolewa na malaika na kibaya zaidi wanatumika kuliko kawaida ya mahitaji ya malaika wanaowatafuta.

Teknolojia imerahisisha mambo lakini imeshusha sana thamani ya utu wa watu.
 
Kama sijakuelewa mantiki yako
 
Hayo ni mawazo yako lazima tuyaheshim..mwezi unaweza mpata popote sio lazima akufate na kujitagaza sio sababu ya yeye kuwa kachoka.. wapo waliotulia na wameweka bango
Halafu wewe wewe wewe we wewe, ngoja nikufate INBOX
 
Biashara matangazo.

Ni sawa tuu na yule anayeuza nyanya akizipiga picha na kuzielezea sifa zake kisha kuziweka online.

Wapo watu wameolewa kupitia njia hiyo. Vile vile wapo watu wameliwa kupitia njia hiyo
 
Huu ndio ukweli halisi, ukiondoa wale matapeli na "wasiojulikana"

Haiingii akilini Msichana mzuri (kwa mujibu wa vigezo mnavyoorodhesha) ukose mchumba au mume kwenye hadhira inayokuona na kukuzunguka.
Kuja kwako huku kwa tusiokuona ni kutuambia kuwa wewe ni "Kimeo" umeshindwa kuuzika kwa jamii inayokuzunguka.
Chief uko sahihi.
 
Wengine ni machangu wastaafu so jamii inayomzunguka ishdharau hivyo akija humu ni rahisi kukuingiza choo cha kike kwa kuwa hutakuwa na taarifa za BG yake
 
Kwani chagu anatofauti gani na bikra
 
walikuwa mitandaoni si ndio hao hao walio mtaani?? shida iko wapi sasa?
 
Back
Top Bottom