Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini waafrika wengi wako conservative mno kimapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Natalia, Jul 11, 2011.

 1. N

  Natalia JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mimi ninashangazwa sana kuona. Utakuta watu wanapenda mapenzi ya ndani . Nimeolewa na mzungu na kusema ukweli wanaume wa kiafrika wako nyuma sana sana . Hapa nilipo nimesahau jiko lilivyo nafuliwa nguo naletewa coffee asubuhi napewa dollar 2000 allowance yakuwa mke .kokote pale nilipo nipo na mume wangu . Halafu mwanaume wangu hajawahi hata siku moja kuniambia nifanye kazi .Anahakikisha naendesha gari la dhamani na kudumu kila ijumaa anaosha na kujaza mafuta gari. Anaingia yeye jikoni sio mimi. Sijaona mwafrika akifanya hivyo kwa nini?
   
 2. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,249
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Unataka kutujulisha juu ya maisha uliyonayo na unavyotumia na kutumiwa? Mbona thread yako haina mashiko? Labda kwakukufungua macho jamii ya kiafrika inatamaduni yenye asili moja linapokuja sula la mke na maisha! Vivyo hivyo mataifa mengi ya ulaya yanatamaduni yake! Kamwe huwezi kubali usiku kuwa mchana!!
   
 3. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135

  Maneno meengi ya nini, weka wazi tu kwamba umezikumbuka mashine za kikwetu, acha kujifaragua, fanya uni pm address yako.
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe ngoja nguvu zikuishie ndio utawajua wazungu walivyo wewe endelea kutumika tu
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Yaani Yoyo...! yaani....! I mean.... yaaani wewe umeolewa ama!?

  I am....! I... I mean... Guy Whats going on here, I'm confused.
   
 6. N

  Natalia JF-Expert Member

  #6
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Yaa nimeolewa na. Mzungu na ni lawyer na sikiaga kutapika nikiona wanaume wakiafrika wanavyopenda kujishaua na wakati wanategemea wake zao halafu hawapaki deodorant na bad
   
 7. N

  Natalia JF-Expert Member

  #7
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Wenzenu tunasquat ok.utaweza kuninunulia Range kila mwaka.
   
 8. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #8
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Kama umeolewa na Mzugu sisi jufanyaje sasa
   
 9. Lussadam

  Lussadam JF-Expert Member

  #9
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 13, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 386
  Trophy Points: 180
  Mzungu wako atakuwa mume *****
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Jul 11, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Nina mashaka kama unaelewa vizuri maana na matumizi ya neno conservative.
  Nina mashaka nauwezo wako wa kujieleza, na kama unaelewa sentensi ni nini.

  Kwa mfano, sentensi yako ya kwanza umeanza kwa kusema "Mimi nashangazwa sana kuona". Kwa watu wanaofuatilia kusoma, wanaweza kufikiri ulikuwa kipofu na ndiyo kwanza unaona, na hivyo unashangazwa sana kuona. Labda inawezekana ulikuwa kipofu wa mawazo na kuolewa na mzungu kumekufanya uone mambo ambayo hukutegemea kabisa kutokana na upofu wako wa mawazo wa awali..

  Unaendelea kuonyesha kupenda kufugwa kama kuku ndiyo maendeleo. Huoni ubaya kuuza utu wako na uwezo wa kujikidhi mwenyewe. Haya ndiyo maendeleo? Mimi nilifikiri maendeleo ya wanawake ni kudai usawa na wanaume, au mnataka usawa kwenye haki lakini kwenye kufanya kazi hamtaki?

  Halafu wewe kwa kusema hujaona Mwafrika akifanya hivyo hakuna maana kwamba hakuna waafrika wanaofanya hivyo. Inawezekana ulikotoka hamna watu wa caliber hiyo.
   
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Dah! Baada ya kuangalia ID yako kwa makini ndio nimeona tofauti na ya huyu jamaa hapa (Yo yo angalia baada ya "y" na "o" kuna space). na wewe yoyo.

  Anyway sasa naona nipo sawa, kumbe wewe ni Mtu nke, na Yo yo yule alijipachika uraiya wa Kenya ni mtu mume.

  Basi ongera sana, ila sidhani kama wazungu wote wapo ivyo.
   
 12. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #12
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nani kakwambia ana mzungu! Wenye nazo huwa hawaongei kaka. Huyu ni masikini tu, eti dolla 2000 kila siku, gari, sijui nini, sijui vile! Mh!
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Jul 11, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  I think kwa huyo mzungu wako you are nt married but you are there as prostitute thats why he pays you 2000$ daily, car, etc, afu koma kututukana wananaume Waafrika, we know how we drive ou love relatinions, thats why hata babako ambae ni mwafrika aliwezana na mama yako.
   
 14. N

  Natalia JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  BABA YANGU MZUNGU MAMA YANGU TANZANIA=First Born;2216194]I think kwa huyo mzungu wako you are nt married but you are there as prostitute thats why he pays you 2000$ daily, car, etc, afu koma kututukana wananaume Waafrika, we know how we drive ou love relatinions, thats why hata babako ambae ni mwafrika aliwezana na mama yako.[/QUOTE]
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  yoyo....!
  acha ushamba
   
 16. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndio maana ukaolewa na Mzungu hivyo unajua kabisa Waafrica tuna mfumo dume. Lakini na wao wazungu huwa wanatabia za ajabu Mfano kula tigo, kusagana na ndoa za jinsia moja hilo unalionaje?
   
 17. N

  Natalia JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 3,558
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwanaume wangapi wakitanzania wanawatia wanawake wao nyuma na sio magay.kama unamtia mke wako nyuma wewe ni gay.
   
 18. Ballerina

  Ballerina JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hizi salamu (kwa kuwa zimejaa HESHIMA )ungezituma kwa BABA YAKO MZAZI na wanaume wote walioko kwenye ukoo wa baba yako/mama yako!

  MZARAU KWAO NI MTUMWA!

  KAMWE HUWEZI KUBADILIKA NA KUWA MZUNGU.......................Mshamba mkubwa!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Sishangai sana,

  Kwani YoYo ni pira/ dude fulani hivi la kuchezea watoto, ukilipeleka kokote linaenda.

  Sasa naona hili YoYo lishabadilishwa na wazungu limejiona liko pepooni.
   
 20. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hao wazungu ndio haswa wenye tabia ya kula tigo kiutamaduni. Nimeuliza tu hiyo siyo tabia mbaya zaidi kuliko ile ya mwafrika kushindwa kufanya kazi za mke wake? Sijawa specific upande wowote maana hata ww inawezekana kuwa umechukua sample ya Wanaume wengi wa kiafrica ndio maana na mimi nimekupa mfano mmoja ambao sisi tunauona ni mbaya.
   
Loading...