Hivi ni sababu gani zinazompelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa? tujadili

miss255b

Member
Jul 25, 2018
12
23
leo nigependa kupata msaada juu ya hili tatizo..wana JF wenzangu najua kuna watu wana uelewa zaidi wanaweza wakatusaidia...hivi ni sababu gani zinazompelekea mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa? tujadili
 
1.Kutompenda mwanaume/kutokuwa na hisia naye
2.Mwanaume anayefanya sana mapenzi mpaka papuchi inakauka ladha yote inaisha unaanza kuchukia mapenzi
3.Kujihusisha na usagaji
4.Kujichua
5.Maandalizi mabovu ya mwanaume
6.kuwa na magonjwa ya ngono UTI
7.kukutana na maumbile makubwa ya mwanaume yanayoumizaa.
 
Jitu lichepukaji, halikuthamini, wewe sio priority kwako, hajawahi hata kukununulia zawadi, hajawahi hata kukutoa out, kukujulia hali hata kwa sms mpaka kuwepo na tatizo ndo apige simu, na ujinga ujinga mwingine.

Hiyo hamu ya kubilingita utatoa wapi? Mapenzi ni hisia tofauti na hapo kila mtu abaki na chake.
 
Last edited:
Jitu lichepukaji, halikuthamini, wewe sio priority kwako, hajawahi hata kukununulia zawadi, hawajawi hata kukutoa out, kukujulia hali hata kwa sms mpaka kuwepo na tatizo ndo apige simu, na ujinga ujinga mwingine.

Hiyo hamu ya kubilingita utatoa wapi? Mapenzi ni hisia tofauti na hapo kila mtu abaki na chake.
Kweli kabisa
 
Jitu lichepukaji, halikuthamini, wewe sio priority kwako, hajawahi hata kukununulia zawadi, hajawahi hata kukutoa out, kukujulia hali hata kwa sms mpaka kuwepo na tatizo ndo apige simu, na ujinga ujinga mwingine.

Hiyo hamu ya kubilingita utatoa wapi? Mapenzi ni hisia tofauti na hapo kila mtu abaki na chake.
Utoaji wa zawadi ni Mfumo
 
2.CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI
3.KUJICHUKIA,usipojipenda hutapenda sex maana hutaona value for it.Kwako takuwa ni kutumika tu
4.MADAWA YA UZAZI WA MPANGO
5.MAISHA YA KAZI NA ELIMU
6.KUKATISHWA TAMAA NA KUKATA TAMAA JUU YA MAHUSIANO NA MAISHA
7.KUTORIDHISHWA KIHISIA
8.NDOTO ZINAPODHIHIRIKA KUWA NI NDOTO NA HAKUNA UHALISIA
9.KUHISI/KUFAHAMU HUPENDWI,it feels good unapojua kuna mtu really feels about you and the vice versa is true
10.FANTASY PARTNERS, kuna wanawake wana aina flan hivi ya wanaume vivhwani mwao kuwa ndo wanaweza au walihwahi waridhisha kihisia.
11.MAUMIVU YA KIAKILI,HISIA AU HATA MWILI,
1.KUWA TAKEN FOR GRANTED.

watu hudhani maumbile ya wanaume,kipato chao,mwonekano ndiyo humaliza au huongeza ,UKWELI NI KUWA SIYO KWELI!

INNER FEELINGS zinamwondoa MWANAMKE KWENYE RELI KWA KIWANGO AMBACHO HUWEZI FIKIRI KINAWEZEKANA
 
Last edited:
1.Kutompenda mwanaume/kutokuwa na hisia naye
2.Mwanaume anayefanya sana mapenzi mpaka papuchi inakauka ladha yote inaisha unaanza kuchukia mapenzi
3.Kujihusisha na usagaji
4.Kujichua
5.Maandalizi mabovu ya mwanaume
6.kuwa na magonjwa ya ngono UTI
7.kukutana na maumbile makubwa ya mwanaume yanayoumizaa.
Khaah mbona hapo namba 2 & 7 ndo umenichanganya kabisa sasa!!

Mnaokataaga vibamia si nyie nyie, mnaosema hatuna pumzi si nyie nyie

NB: bora tu niendelee kuamini conclusion yangu kuwa "matamanio ya mwanamke ni nature (asili yake) na ni endless, akitamani hiki akakipata bado tu haridhiki, atatamani kingine na kingine...and the continuity goes on and on!!
 
Hahahahah hatueleweki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom