JIPIME UBONGO WAKO UWEZO WA KUFIKIRI

JIPIME UBONGO WAKO UWEZO WA KUFIKIRI

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Ndege ilikua inatokea Tanzani kwenda kenya ilipofika mpakani mwa Tanzania na Kenya ndege ilianguka, Je majeruhi watazikiwa Tanzania au Kenya...?
 
miaka hiyo tukiwa shule ya msingi hukoooo na vitenda wili vya popo mbili zavuka sijui nini huko na ......... mpaka maka unaambiwa uterezi
 
Naona la saba mnajipina nondo mlizosoma moderators kids forum ni muhimu kuwekwa
 
Naona watu mmepanic mngempa tu jibu dogo alizike. Majeruhi hawazikwi
 
Back
Top Bottom