Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama mada inavyojieleza Nauliza inakuaje wewe mwanaume kamili rijali unakaa na kuanza kusikiliza nyimbo za taarabu?? Wakati nimesimama pale mataa ya Buzuruga naskia music mnene wa taarabu kutoka...
4 Reactions
95 Replies
13K Views
Hakika paul mgalatia anatoa dozi takatifu !! Natumai mnaomfahamu mtanisapoti . Sasa ningeomba wale mliowahi kupatikana mikononi mwake mje mtupe ushuhuda kidogo!.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habar za wakati huu??? Bila kupoteza muda niende kwenye lengo la uzi huu, Mimi ni kijana umri miaka 25 bdo nasoma npo chuo, lengo la kuandika uzi huu ni kwamba mimi nina tatizo kubwa sana la...
3 Reactions
104 Replies
10K Views
Kwanza naomba nianze kwa kujitambulisha.. Mimi ni mkazi wa Tanzania na nimejiunga jamii forum zaidi ya miaka kumi sasa lakini niliifahamu JF miaka mitatu kabla ya hapo. NB kujiunga miaka kumi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF majuzi nilileta humu Uzi kwamba mtoto Wa kinyarwanda nimemzimikia na yeye ananizimikia tatizo tu nikiomba mchezo anavurugika. Majuzi sasa.. Rafiki yake Wa miaka mingi alinifata inbox...
7 Reactions
689 Replies
35K Views
Message…habari zenu bwana jf, niende moja kwa moja kwe mada, kiukweli nimekuwa na huyu binti kwa muda kama miezi saba hivi tatizo hafiki kileleni hata nikidum kifuan kwa masaa atakuwa anatatizo...
3 Reactions
114 Replies
12K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana wa MMU natumaini wote mu wazima na mnaendelea vyema kutafuta grisi kwa ajili ya kulegeza vyuma maana msoto wa huku mtaani kwa sasa si rafiki na wahenga...
13 Reactions
300 Replies
26K Views
Kuna tabia ya baadhi ya wanaume wanapekua simu za wachumba au wapenzi wao na kuanza kuchukua namba zilizotuma msg au call na kuanza kuuliza maswali mi nayaita ya kijinga. Utasikia we ni nani...
2 Reactions
145 Replies
10K Views
Hi JF, Hope da weekend is cool over zea.!! Nianze kwa kusema hongera zenu mabinti na wanawake wote wenye asili ya kiafrika. Mungu kawapendelea sana, na kama huamini take it from me...
10 Reactions
20 Replies
4K Views
Umekutana na mtu ambae mnaendana, mnapendana na kuthaminiana sana, inshort ni the perfect person for you. Ila ikaja kugundulika kuwa hawezi kuzaa au kuzalisha, na sio kwamba alikuficha wala...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Mwanaume anapata madhara gan anapofanyamapenzi na mwanamke aliemzdi umri??
3 Reactions
60 Replies
9K Views
Habari za siku wapendwa! Siku nyingi ijaingia kwenye mtandao wetu pendwa, ila baada ya kuperuzi kwa siku kama tatu hivi kuna baadhi ya members sijawaona lakini kuna mmoja nimeshawishika kuzijua...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Fanya haya kwa mume wako 1. Muite kwa jina lake la utani 2. Muache atumie mamlaka yake kama kichwa cha nyumba. 3. Usimcheke akiwa ameumizwa na jambo fulani. 4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
hivi hawa wadada huwa mnaewaelewa kweli maana usipokua na akili yako timamu unaweza omba vitu vingine kichwa kichwa
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Michezo hiyo huwa ni sarakasi ikihusisha kujikunja na kujikunjua kwa staili mbali mbali na nyingine zikiwa za kuogofya zaidi,lakini kali kuliko zote ambayo inafanywa na wanawake wanaocheza huo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
You vibing with a certain girl, chilling, talking about god knows what. You feel like kissing her, halafu unaona the best course of action ni kumuomba. Like nigga is you stupid. Huko ni kukosa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa kalazwa hospital lakini baada ya girlfriend kuchukua simu na kuondoka nayo, ghafla nguvu zikamjia
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Naam habari za weekend,nijikite ktk mada moja kwa moja ambayo inazungumzia ni ktk kipindi gani utakua sahihi kumpata mwenza wa maisha. Nakuja na mada hii baada ya kukutana na changamoto ktk...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za weekend tulivu wapendwa, tumemaliza kupata staftahi nimepitia magazeti ndo nagundua kumbe leo ni Nyerere Day.... So happy Nyerere Day to everyone out there. Iko hivi kuna kazi nilikuja...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Feliz Sabado mi gentes Niende moja kwa moja kwenye mada Miaka ya hivi karibuni ninapokua na mwali na kumpiga show heavy nikiamka asubuhi mwili unauma Yani viungo hasa kwenye maungo ya mikono na...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…