Nimeambukizwa fangasi na mdada mzuri sana, sikutegemea!

theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,750
15,639
Habari za asubuhi mabibi na mabwana wa MMU natumaini wote mu wazima na mnaendelea vyema kutafuta grisi kwa ajili ya kulegeza vyuma maana msoto wa huku mtaani kwa sasa si rafiki na wahenga walivyokuja na ule msemo wa kua uyaone hawakukosea kabisa.......

Back to the topic ni kwamba leo mida ya usiku nilisikia muwasho huku kwenye shina la mkuyenge katika kujikunakuna leo asubuhi naamka nakuta kuna rings za tupele kidogo viko kama vinashuka kuelekea kwa kichwa cha dudu nikapata mshangao nimevipata wapi hivi vidude ndio katika kukaa chini na kutafakari nikaona mdada fulani ndio atakuwa ameniambukiza hivi vidude.....

Story ya kumpata huyu mdada ilikuwa hivi "Wiki iliyopita mida ya saa sita mchana nikiwa na dereva wa ofisini alinipeleka benki kuna transaction nilienda kufanya huko wakati naingia benki kuna mdada alikuwa amekaa upande wa reception pale so akawa ananitazama sana katika kuniangalia huko tukajikuta tunagonganisha macho na mimi bila hiyana nikaishia ku smile tu maana ni kawaida yangu pindi pale ninagonganisha macho na akina dada nae pia akaishia kutabasamu......

Baada ya kumaliza kuwithdraw kiasi fulani cha fedha nikawa na narudi zangu kwenye gari kufika nikamwambia dereva kuna mdada mmoja alikuwa ananiangalia sana mule benki amekaa sehemu fulani hivi dereva akaniuliza umemuelewa nikasema kiasi chake. Kama bahati bhana mtoto akawa anatoka kwenda kupata lunch nikamuonesha dereva mdada mwenyewe ndio yule bila hiyana jamaa akawasha gari tukamfuata mtoto tulipofika karibu yake nikashusha kioo nikamwambia waelekea wapi akasema anaenda Kupata lunch nikasema sio vibaya tukikusogeza hapo mbele mtoto akakubali tukamfungilia mlango wa gari tukamsogeza hadi sehemu anapokula lunch kabla ya kushuka nikamwomba namba ya simu mtoto akatoa bila shida nikamsindikiza na elfu 50 nikamwambia atatumia kununulia maji ya kunywa nikaona ana smile mwenyewe huku mimi nikijisemea moyoni mambo si ndio haya .........

Usiku nikamtext mtoto akawa ana respond bila shida akawa ana nisifia sifia niko smart na inaonekana najipenda sana nikawa namjibu kwa vile viemoji vya kusmile na tukope kope kwa mbali kumbe mtoto alinielewa kitambo sana na nilikuja kummaliza baada ya kumpa elfu 50 bila kufikiria maana aliona siku hiyo niko na bunda kadhaa za 10 akajua huyu ndio boss na vile naendeshwa kwa cruiser za DFPA akawa kakatika kama wimbi la uji bila kupoteza muda nikamwambia kama utakuwa na muda weekend nitahitaji company yako akasema hakuna tatizo weekend ya ijumaa nikamvutia waya nikamwambia njoo de france sinza tupate dinner saa3 huyo akaja nikamambia aagize akaagiza kitimoto nusu na wine mwanaume niko na supu ya samaki na Windhoek zangu taratibu kufika saa6 kasoro naona mtoto anaanza kulegea huyo nikamwambia muda umekwenda itabidi ukapumzike akasema hakuna tatizo huyo nikaita ubber nikamwambia tupeleke Double view hotel sinza mapambano nilikuwa nishaweka booking usiku huo nikajilia mtoto kiulaini hadi asubuhi......

Aise baada ya kulala na huyu dada simu na sms zikawa hazikauki nikaona huyu ataniletea balaa nikaamua kumblock akawa anatumia namba za marafiki zake nikaona isiwe case tuonane jumatano ya wiki hii kwa mazungumzo nikamweleza ukweli ni tamaa tu na mimi kulala na siku ile ilitokea tu akawa analalamika akasema sawa but atahitaji company yangu na ameni miss sana nikasema haina tabu nikaenda kuweka booking kwa hotel yangu ya siku zote nikamshughulikia kama kawaida but siku hiyo sijui nilivaa condom vibaya nilivyoenda kuwasha taa ili kuvua nikakuta ule ute wa uke umepanda hadi huku juu ya shina nikajilaumu kwelikweli......

Ndio leo naamka nakutana na kadhia hii kwa moyo mmoja nimeamua kumblock mazima na sihitaji huduma yake tena....

Hitimisho: Wanaume wenzangu muwe makini ni hawa dada zetu kama mimi huyu wa kwangu ni mzuri kweli kweli kuanzia rangi...sura ... na shape ila ndio leo ameniambukiza sijui fungus hapa nimetoka Nakiete pharmacy kununua amoxycillin na dawa ya fungus ketoconazole kwa ajili ya kuondoa kadhaa hii.....
 
huo uzuri na huo urahisi kupatikana kwake ndio sababu ya fungus kujificha huko

ndio maana wahenga walisema uzuri wa mkakasi ndani ni kipande cha mti
hiyo fungus bado gono na ukimwi kama ukileta masikhara

ila unaonekana ulifaidi
Sasa mkuu mdada anakuambia kabisa hana mtu na ukimwona ni mzuri hatari na mimi nikaona si vibaya nikaonja yaliyomo ila uzuri ni kwamba nilitumia kinga sema ndio hivyo katika kufanya ule ute wa uke ndio ukawa umepanda kwenye shina huku kumbe ndio fungus yenyewe......

Kasabisha leo sinywi bia kanikwaza kwelikweli nawaza ningeloweka ingekuaje
 
huo uzuri na huo urahisi kupatikana kwake ndio sababu ya fungus kujificha huko

ndio maana wahenga walisema uzuri wa mkakasi ndani ni kipande cha mti
hiyo fungus bado gono na ukimwi kama ukileta masikhara

ila unaonekana ulifaidi
:D:D:D:D:D:D hahahahahah
 
halafu ni bora ukamwambia labda hajijui na yeye akajitibie wote mpone
Apambane na hali yake mkuu sina muda nae tena huwa nikilala na mdada sirudii mara mbili ila kwa huyu alikuwa mzuri ndio maana nikajikuta narudia kula tunda anyway nitamwambia ukweli baadae ili aanze dose mara moja.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom