msaada jaman mbona girlfriend wangu hafiki kileleni ?

functional

JF-Expert Member
Sep 13, 2018
732
772
Message…habari zenu bwana jf, niende moja kwa moja kwe mada, kiukweli nimekuwa na huyu binti kwa muda kama miezi saba hivi tatizo hafiki kileleni hata nikidum kifuan kwa masaa atakuwa anatatizo gan? naomben ushauri wapendwa.
 
Mkuu leta namba ake, atakuja akusimulie,,,,,, unamdonoa donoa demu unafakr atafika kilelen?
 
Unamwandaa vya kutosha? Au unafikia kumparamia na kumchomeka mkuyati? Jaribu kumwandaa vya kutosha msome maeneo ambayo anafurahia kushikwa,kama matiti,kisimi,mk.undu,kwapani,shingoni,kichwani na maeneo mengine,ukishagundua wapi pana mpa ashki basi deal napo,pia demu kufika kilele sometimes wengine hawajui namna inavyokua wanapofika kileleni.In short pata muda mwingi wa kumwandaa kuliko kumparamia ka jogoo anavyomfukuza koo na kumparamia
 
ahsante kwa ushauri mzuri
 
Hapo mnapoishi kuna mlima wenye kilele kirefu? Kula biology kwahitaji maujanja sana. Jaribu kumuongelesha shit ukiwa unaichambua hiyo biology yake
 
Short term solution.

Mnyonye kiss me.

Longe term solution.

Key ni mawasiliano kati yako na yeye. Kabla ya tendo na wakati tendo linaendelea. Jifunze juu ya mwili wake.

Ukishindwa muulize.
 
Back
Top Bottom