Tuambie rafiki yako aliyekuwa snitch

Tuambie rafiki yako aliyekuwa snitch

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kila mtu alishawahi kuwa Na rafiki snitch yule rafiki mbea mbea yaani asisikie kitu kuhusu wewe tayari kitaa washajua au ameshayapeleka kwa bi mkubwa au mahala popote,

Marafiki wa namna hii huwa wanakela sana asikwambie mtu unakuwa haumuamini kwa chochote kile ila mtu unamvumilia tu kwa sababu flani flani labda kwao namna gani vipi kwao mambo safi au uko na share nae ,

Tuambie hapa rafiki yako yupi alikuwa snitch alikusnitch mpaka ukamaliza ule uvumilivu wote uliokuwa nao kwake ukaamua kuachana nae na kupita hivi?
 
yaani mie nilishawahi kuwa nao wawili, ila niliwachana live na nikawaambia urafiki wa kitoto sitaki, kila mtu akachukua hamsini zake
 
Mimi nina marafiki wachache sana na tunaendana na wanaeleweka, snichi akija kwangu automatically atajiona amekosea njia na ataondoka mwenyewe,
 
Back
Top Bottom