Kabinti nimekazidi kiuchumi lakini kanataka kunitawala

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Habari wana Jf

Hii inakuaje unakua na mahusiano na kabint hivi kadogo kwako kiumri kiuchumi hadi kielimu lakini hakina nidhamu kanataka kunitawala.

Kipindi kikileta nyodo zake huwaga haniombagi pesa basi akianza kujishusha ndo kananiomba pesa yani nilicho msoma anataka niwe zezeta kwake

All in all juzi nikamkazia liwalo na liwe akawa mpole kama kamwagiwa maji ya baridi kanaanza kujishusha kwa maneno matamu oooh mara kanalia mara wanipelekesha Drama kwa kwenda mbele

Embu tia neno....usipite hivi hivi.
 
Achana nae Huyo hana mapenzi nawe, usiamini kila machozi ya mpenzio wakike ..basi Yanamaanisha !!
 
Habari wana Jf

Hii inakuaje unakua na mahusiano na kabint hivi kadogo kwako kiumri kiuchumi hadi kielimu lakini hakina nidhamu kanataka kunitawala.

Kipindi kikileta nyodo zake huwaga haniombagi pesa basi akianza kujishusha ndo kananiomba pesa yani nilicho msoma anataka niwe zezeta kwake

All in all juzi nikamkazia liwalo na liwe akawa mpole kama kamwagiwa maji ya baridi kanaanza kujishusha kwa maneno matamu oooh mara kanalia mara wanipelekesha Drama kwa kwenda mbele

Embu tia neno....usipite hivi hivi.
Neno la nini sasa..acha upompopompo ww
 
Hujawahi mpiga daflao.

No game.

Not even Playstation.
 
Uzuri wake na akupavyo ndiyo jeuri yake kwako.

Pesa zako, elimu na umri wako visihusishwe kwenye mapenzi.

Weka msimamo thabiti na nia yako ionekane kwake.
 
Mim nilijua ushaanza kumkachapa makof, unakuja kulia lia uku
 
Habari wana Jf

Hii inakuaje unakua na mahusiano na kabint hivi kadogo kwako kiumri kiuchumi hadi kielimu lakini hakina nidhamu kanataka kunitawala.

Kipindi kikileta nyodo zake huwaga haniombagi pesa basi akianza kujishusha ndo kananiomba pesa yani nilicho msoma anataka niwe zezeta kwake

All in all juzi nikamkazia liwalo na liwe akawa mpole kama kamwagiwa maji ya baridi kanaanza kujishusha kwa maneno matamu oooh mara kanalia mara wanipelekesha Drama kwa kwenda mbele

Embu tia neno....usipite hivi hivi.
Hivi shule zimeshafungwa au bado
 
vp mkuu si uwa UNAKATOMBA FREQUENTLY?????? KAA NDO HIVO KACHUKULIE POA TUU ILA KAKIWA KANAENDEKEZA KAGOMBEZE
 
mapenzi hayana elimu wala ujanja wewe!! ukishaona mbunye akili inakuwa kama mtu hata darasa la kwanza hajaenda.
Inaonekana kenyewe na udogo wake kanayajua sana mapenzi kukuzidi.
 
Back
Top Bottom