Ni lini tutakuwa na ndoa za mikataba,

Ni lini tutakuwa na ndoa za mikataba,

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Natamami ifike wakati ambapo tutakuwa na ndoa za mikataba, ambapo tutawekeana terms and conditions!!

Ambapo mtajadili terms and conditions, na kuzisaini mkiridhia, pia ndoa ziweze kuwa na mikataba ya kudumu au ya muda

Yaani kwa sisi wakristo ukakosea kumchagua mwenzi wa maisha, asee ndio imekula kwako
 
Utasubiri sana mkuu. Kwa hapa tz itachukua miaka 100 kuja kutokea.
Wenzetu hawana ndoa ya mkataba, ila devorce wamelegeza baadhi ya vifungu so nirahisi kuachana
Natamami ifike wakati ambapo tutakuwa na ndoa za mikataba, ambapo tutawekeana terms and conditions!!

Ambapo mtajadili terms and conditions, na kuzisaini mkiridhia, pia ndoa ziweze kuwa na mikataba ya kudumu au ya muda
 
Natamami ifike wakati ambapo tutakuwa na ndoa za mikataba, ambapo tutawekeana terms and conditions!!

Ambapo mtajadili terms and conditions, na kuzisaini mkiridhia, pia ndoa ziweze kuwa na mikataba ya kudumu au ya muda
Dah....ndoa ni makubaliano binafsi...wewe tu..[emoji41]
 
Utasubiri sana mkuu. Kwa hapa tz itachukua miaka 100 kuja kutokea.
Wenzetu hawana ndoa ya mkataba, ila devorce wamelegeza baadhi ya vifungu so nirahisi kuachana

Ooh, kumbe basi kuna haja ya kuangalia hizi mambo za divorce asee, zilegezweee
 
Ntaleta Uzi wangu sku si nyingi unahusu hyo mambo ngoja nipoze moyo kwanza na K- vant
 
Back
Top Bottom