Wakuu habari zenu,
Nina shemeji yangu mmoja imepita miaka miwili aliyumba kiuchumi sasa akaamua kuhamia kwenye nyumba ya mzee wangu aliyotuachia me na kaka zangu kila mtu ana chumba chake kimoja...
Mko poa?
Katika harakati zako za kila siku ghafla unakutana na mtoto mzuri inatokea umeelewa kali zake kisha unaamua kumfungukia (unachukua number)
Baada ya kukuru kakara, dates za hapa na pale...
Murevedi vose!!
Moja kwa moja kwenye Mada.
Mwanamke anathamani kuliko kiumbe chochote hapa duniani. Kwa kulitambua hili sisi kama wanaume tuliopewa dhamana ya kuiongoza hii dunia tumejikuta...
Sifa
Awe tayari kupima afya
Awe mcha mungu
Awe mkristo
Asiwe mchoyo(naomba nieleweke hapa)
Asiwe mzaramo
Miaka kuanzia 22-27
Awe mrefu,asiwe mfupi sana
Kama yuko tayari na anazo sifa Ila...
Ni Mara kadhaa nimekuwa nikisikia watu mbalimbali wakiuhisisha ugonjwa wa mafua na maswala ya mapenzi.mwenye ufaham zaid wa ili jambo utujuze kiundan kwanini na kwa namna gani ugonjwa huu...
I live for the day when women will have nothing else to showcase other than their talent, hardwork, ideas and innovation. The body you are flaunting today will only give you likes on social...
Hapa ninafanya kama karisechi kadogo majibu yenu yatanifariji au kuniumiza swali langu ni fupi sana
Tumetengana je atamegwa?
Niambieni ukweli msinifiche call spade a spade kama atamegwa...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mwanamke wa miaka 33, niko Arusha, Mkristo Mcha Mungu.
Natafuta mume miaka 33 hata 36, awe Mkristo Mcha Mungu.
Kujuana zaidi njoo PM.
Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa.
Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)...
Ndani ya JF kuna kila aina ya ID na Avatar zipo za kutisha,kikauzu na ata zile za kunyegesha,
Kwa haraka haraka nimekutana na ID nyingi zenye Avatar za kunyegesha yaani ukizikuta tu kama mwanaume...
Wana JF habari yenu,
Naomba kusaidiwa ni kwanini kila msichana anaejaribu kudai nae ananiambia ni bikira hata yule anayemfahamu kashawahi kuguswa na mshikaji wangu?
Au wao kusema ni mabikira...
Naanza na:
"Ninapokuwa mbali nawe ndipo hubaini pasipo mashaka kuwa hakika maisha yangu hayana maana pasipo wewe mpenzi wangu".
Wataalam wa mambo haya tuendeleze.
FACT, sio mbwembwe wala porojo, ukweli ndio uko hivyo, unaambiwa wataalamu na wachunguzi wa maswala ya mahusiano nchi za wenzetu wali kili kua ...
" mwanamke mwenye asili ya rangi nyeusi / black...