YUPI BORA KATI YA WAWILI HAWA

bora anisaliti kwa penzi mana kwenye mali aiseee naondoka na roho ya mtu.
 
selective za kitoto hiz ni sawa na zile za mwizi kaingia uambiwe uchague mmoja wapo kati ya mama na mtoto wako umuokoe utamchagua nani?

sipendagi vitu vya hivi.
 
Kwa Mimi mchaga bora unisaliti kwa mapenzi kwa Mali lazima nikuchinje na nikufanye kisusio
 
Msaliti wa mapenzi anaweza kukuletea magonjwa plus stress ufe mapema (Kwa kabila zote isipokua chaga na pare)

Kwa wachaga na wapare msaliti wa mali ni wa kuuwawa.
 
Wa mali si wakumuacha hiv hiv. Lazima atage maana mali inatafutwa kwa jasho na damu halaf mtu aje aibebe kirahis
Msaliti wa mapenzi anaweza kukuletea magonjwa plus stress ufe mapema (Kwa kabila zote isipokua chaga na pare)

Kwa wachaga na wapare msaliti wa mali ni wa kuuwawa.
 
Penzi 99% wanachakachua na hakuna ushahidi but mali ikichakachuliwa tunajua so bora aendelee tu kuchakachua penzi ila kwa siri nisijue
 
"" "" "kenge wee unaniiibia hela zangu pumbavu mkubwa san weeee tokaa nasemaa tokaaaa nuumbani kwangu wanawake wengi ntaoa mwingne!!!!!!!!! !!! !!!! "" "" "" ""


mkuu mapenzi yapo tuu wanawake wengi mno! cha msingo malii ishike mali yako daima!
 
Back
Top Bottom