Tuwajulishe na kuwakumbusha mabinti zetu..

sawe4u

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
973
Reaction score
581
Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa.

Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, Mueleze Kuwa Kama Akiruka Ya Kwanza Hatapata Nafasi Ya Kuvaa Ya Pili.

Mueleze Kuwa Asikimbilie Kuvaa Ya Nne Eti Kwa Sababu Mtu Amemuahidi Ya Tatu..
Ruksa kuongez muona wako..
 
Hoja muruwa yenye matiki yaliyo bayana.
 
Lazima tuwajulishe watoto wetu Wa Kike Kuwa, Katika Maisha Yao Kuna Nguo Kuu Nne Za Kuvaa.

Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, Mueleze Kuwa Kama Akiruka Ya Kwanza Hatapata Nafasi Ya Kuvaa Ya Pili.

Mueleze Kuwa Asikimbilie Kuvaa Ya Nne Eti Kwa Sababu Mtu Amemuahidi Ya Tatu..
Ruksa kuongez muona wako..
Amen! Binti yangu Abigail namuomba afike mbali Kwa Msaada WA Mungu.
 
Wengi tungependa iwe hivyo 1,2,3,4.....
Lakini mabadiliko na misukosuko ya Maisha inatufanya tunaishia vinginevyo.....

1,3,4,2.
1,2,4,3.
1,4,3,2.
1,3,2,4.

mbona kuanza na 1 kote!!?
 
Wengi tungependa iwe hivyo 1,2,3,4.....
Lakini mabadiliko na misukosuko ya Maisha inatufanya tunaishia vinginevyo.....

1,3,4,2.
1,2,4,3.
1,4,3,2.
1,3,2,4.
Sasa mnashauriana vipi au mnawashauri vipi wengine ili wafate huo mtiririko wa mtoa mada ?
 
Wajitahidi kufuata 1,2,3,4 ....ila wakivuruga pia wanaweza kusawazisha.

Mimi 1,4,2,3 ndio inanihusu. ..nasijaharibu kitu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom