Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hata Kama hakuna joto utashangaa nime sweat Kama vile nimekimbia mbio za Marathon.kama tume undergo kifo Cha mende ndo kabisa majasho ya usoni yatamwangukia machoni pake na hivi Yana chumvi chumvi...
4 Reactions
88 Replies
9K Views
FAHAMU KUHUSU MBWA KWENYE DAWA ZA MAPENZI MBWA hutumika sana kwenye dawa za mvuto wa mapenzi kama anavyotumika mnyama aitwae ngekewa. Lakini mbwa hutumika kwa matukio makubwa. Mbwa hutumika...
1 Reactions
86 Replies
14K Views
Hii ni kweli pale mwanaume anapooa basi uhuru wake unapotea maana yake anakua kafungwa na mkewe na mke anapoolewa uhuru wake unapotea kwani anakua chini ya mwanaume. Matatizo mengi ya ndoa hutokea...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Unamtongoza mwanamke baada ya muda kupita habari za mtongozo zinaanza kusambaa kwa watu wake wa karibu ,unaweza kuta kakataa offer ya mahusiano ila wakat unapokatiza mahali walipo wanaanza...
0 Reactions
8 Replies
986 Views
Kutoka na hali ilivo ya dunia tulionayo sasa watoto wanaharibiwa kila kukicha...zamani watoto wa kike wanalindwa sana na wazazi..mda wa kulala..rafiki zake nani ....kaenda wapi..ila sasa mi naona...
7 Reactions
75 Replies
9K Views
MAHARUSI wawili wameibua hisia za watu mbalimbali nchini Marekani hivi karibuni baada ya kupata ajali ya helikopta na kufariki takribani saa mbili tu baada ya kufunga ndoa. Inaelezwa kuwa wawili...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mimi ni Mama wa watoto watatu, kabla ya kuoana na mume wangu nilikua na mwaaume mwingine ambaye tulikaa kwenye ndoa kwa miaka sita akafariki dunia, mimi nimemzidi mume wangu miaka mitatu, kabla ya...
5 Reactions
39 Replies
5K Views
Kwa naman Walivyo Makamanda Waaminifu wapo tayari kuingiliwa kinyume na Maumbile ili waikomoe serikali ya Awamu ya Tqno...Haya tukomoeni Baba!
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Mwili wa Binadamu unaweza Kuhimili maumivu ya 45 Units. Lakini wakati wa Kujifungua Mwanamke hufikia Kiwango cha 57 Units za maumivu Kiwango ambacho ni sawa na Mivunjiko 20 ya Mifupa katika mwili...
6 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu hivi mfano mwenza wako kachepuka na anamimba yako ya miezi minne hujamuowa bado utafanyajee kama mwanaume na ukweli unampenda sana na mpaka kwao wanajua
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mwanamke umekutana na Mwanaume mmependana mkaamua kuishi pamoja Mume na Mke, leo hii Mwanamke hutaki Mumeo awasiliane na Ndugu zake wala kuwasaidia kwa chochote, Mwanaume huyo umekutana nae akiwa...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
Jamani vyuma vimekaza kiaina mambo ni Mengi. Kuna wakati unaitaji kitu flani cha muhimu nyumbani unashindwa kukifix kwa wakati. Kutokana Na urafiki wetu hebu kila mtu aseme amekwama kitu gani.Na...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
*Mwanaume* haitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama *Miss Utalii* na *Makalio* yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi.... Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya...
8 Reactions
26 Replies
4K Views
Usishangae ni uchumi gani ni ule wanaoumiliki wakina dada umeshuka bei kiasi kwamba siku hizi tunakula mpaka kwa mkopo, Pongezi ziende kwako mkulu (jiwe) A.K.A stone sisi chama cha wapenda...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi Naona fahari kuwa mwanaume kwasababu 1.nazalisha 2.natawala 3.nagegeda 4.naruhusiwa kuwa nao wengi bila kificho je wewe mwanamke unafurahi kuwa ulivyo wakati unagegedwa
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimekuwa nikiona Watu wengi sehemu mbalimbali wakisema ama wakitaka kwamba kuwepo na ‘Succession Plan ‘ ama Mtindo wa Kurithishana hasa Mtindo Fulani wa Uongozi bora kwa Watu wengine ambao...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sina Nina mbaya lakini ukweli wengi wetu tunaficha sana sura za wapendwa wetu mke au mume kwenye simu zetu ... Hata kwenye WhatsApp na Facebook huoni wife wala husband... Tuko tayari kuonyesha...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Miaka 6 iliyopita nilikutana na binti computer lab chuo yeye alikuwa anatokea college jirani ya social science mara nyingi wanafunzi wa social hawanaga computer walikuwa wanakuja kutumia kwetu...
7 Reactions
74 Replies
7K Views
Mwenyezi Mungu alietukuka amesema " Hakika ilipita miaka mingi dunia haikua kitu kisha tukamuumba mwanadamu tukamfanya mwenye kusikia na kuona" Basi baada ya kuumumba mwanadamu (ADAMU) alijaaalia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Asubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife...
19 Reactions
82 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…