Ujumbe kwa Wanawake wote wenye Roho Mbaya

Superb2014

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
8,464
6,510
Mwanamke umekutana na Mwanaume mmependana mkaamua kuishi pamoja Mume na Mke, leo hii Mwanamke hutaki Mumeo awasiliane na Ndugu zake wala kuwasaidia kwa chochote, Mwanaume huyo umekutana nae akiwa na Meno 32 mdomoni mwake unajua gharama walizotumia Wazazi wake na Ndugu zake hadi kufikia yeye kuja kukuoa wewe?

Wanawake tubadilike tuache Roho mbaya.
 
Ujumbe huu umfikie shem kama yuko huku anajijua. Na roho yako nyeusi kama mti wa ulimbo.
Unanijua unachofanya si powa kabisa
 
Duuu. Haya mwaya ahsante kwa ujumbe.

Japo kwa mbaali nawaza mwanamke anawezaje kuzuia hiyo kitu wakati Me simu ni yake na kama kutoa msaada pesa inakuwa ya kwake au hapa unasemea wale Me wanaowashirikisha wake zao kwa kila jambo?

Ukiona hivyo ujue mwanaume na yeye yamemfaa hayo sababu si mtoto mdogo huyo wa kusema hajui baya na zuri.

Tuwalaumu wanawake ila na wanaume pia walaumiwe kwa kushindwa kujua thamani ya ndugu zao mpaka wanakubaliana na hiyo kitu sababu hakuna anayeshikiwa fimbo kwamba akiwasiliana na ndugu zake atachapwa.
 
Ndio hapo sasa Mkuu yaani huo Uzwazwa wa hali ya juu. Pia tunakuwa na mashaka na uanaume wake.

Mie nionavyo hiyo ni tabia tu ya mtu kutokupenda kusaidia ndugu zake ila Mke anakuwa kisingizio tu.
Sure ni tabia tu ya mtu sababu haiingii akilini unakatazwa vipi yani.
 
Roho mbaya haitoki kwa hiyo sredi mzee baba, maana wako wenye roho kavu shetani mwenyewe anasubiri.
 
Ndio hapo sasa Mkuu yaani huo Uzwazwa wa hali ya juu. Pia tunakuwa na mashaka na uanaume wake.

Mie nionavyo hiyo ni tabia tu ya mtu kutokupenda kusaidia ndugu zake ila Mke anakuwa kisingizio tu.
Zaidi ya kukugongea like useme kingine nini wataka Hajar

Umesema maneno ya busara sana
 
Kuna limoja hilo limeeolewa Kwetu.... Hakukuta familia ni tegemezi kila mtu anajiweza kivyake.... Ila lina roho mbaya hilo Jamani.... Kwanza kahakikisha ndugu yetu hana uhusiano na wenzake wote.... Wanaishi kivyao...... Wenyewe wapo nje ya mkoa waliko zaliwa huko huyo ndugu yetu ana wadogo zake wa2 sio kwamba ni tegememezi lkn hana mahusiano nao.... Kila mtu kivyake...... Ngoja tuone kama hela zinaweza kuwa kila kitu.
 
Hahaah shemeji si kuoa tu na mtoto ninaye. Na nyumba nimeshamaliza. Kiufupi niko vizur.. sitaki misaada ya kaka, ila tangu akuoe hata salam za mwaka mpya hamna. Mwache apumue kidogo jmn
Shemeji oaaaaaa nawe uwe na kwako sikutaki kwangu, kaka ako kishakua na majukumu mengi ujue ile misaada ya enzi hizo lazma ipungue kama sio kukata kabisa.
 
Back
Top Bottom