Hebu twendeni sawa kidogo hapa tafadhali!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,705
Reaction score
128,214
Mwili wa Binadamu unaweza Kuhimili maumivu ya 45 Units. Lakini wakati wa Kujifungua Mwanamke hufikia Kiwango cha 57 Units za maumivu Kiwango ambacho ni sawa na Mivunjiko 20 ya Mifupa katika mwili wa wakati mmoja. Lakini Mwanaume akipigwa katika Mapumbu / Makende / Korodani hupata maumivu ya zaidi ya 9000 Units ambayo ni sawa na Maumivu ya Kuzaa Watoto 160 ambayo pia ni sawa na Kuvunjika mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.

Sasa nauliza kwa hii tathmini ' Kuntu ' kabisa ni nani anasema kwamba Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa?

Nawasilisha.
 
Niliwahi kuuleta huu uzi hapa nikibainisha maumivuu makali kwa mwanaume hapa duniani, Korodani ipo.
Maumivu makali dunia hii - JamiiForums
 
Ivi hayo maesabu batili nan kayafanya???
Ushawai kuvunjika mfupa wewee??
 
Mwili wa Binadamu unaweza Kuhimili maumivu ya 45 Units. Lakini wakati wa Kujifungua Mwanamke hufikia Kiwango cha 57 Units za maumivu Kiwango ambacho ni sawa na Mivunjiko 20 ya Mifupa katika mwili wa wakati mmoja. Lakini Mwanaume akipigwa katika Mapumbu / Makende / Korodani hupata maumivu ya zaidi ya 9000 Units ambayo ni sawa na Maumivu ya Kuzaa Watoto 160 ambayo pia ni sawa na Kuvunjika mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.

Sasa nauliza kwa hii tathmini ' Kuntu ' kabisa ni nani anasema kwamba Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa?

Nawasilisha.
Je ni % ngapi ya me wanapigwa hizo korodani kwa siku? Ukilinganisha na ke wanaozaa kwa siku duniani? Inaweza kupita mwezi hakuna me aliyepigwa huko sasa unasemaje wanaume wajua uchungu wa kuzaa pia si wote wanaopitia janga hilo maishani mwao
 
Mleta uzi kumbuka huyu ke anapata maumivu hayo akileta kiumbe duniani na maneno matakatifu yanasema mtazaa kwa uchungu na aliyesema hayo maneno anajua uchungu wake Nani mwingine wa kumpinga? pia kwa Imani ya dini yangu ke huyo akifariki katika uzazi ni mmoja kwa moja peponi sijasikia sehemu ya maandishi ikisemwa kuhusu maumivu ya korodani
 
Mwili wa Binadamu unaweza Kuhimili maumivu ya 45 Units. Lakini wakati wa Kujifungua Mwanamke hufikia Kiwango cha 57 Units za maumivu Kiwango ambacho ni sawa na Mivunjiko 20 ya Mifupa katika mwili wa wakati mmoja. Lakini Mwanaume akipigwa katika Mapumbu / Makende / Korodani hupata maumivu ya zaidi ya 9000 Units ambayo ni sawa na Maumivu ya Kuzaa Watoto 160 ambayo pia ni sawa na Kuvunjika mifupa 3200 ya mwili kwa wakati mmoja.

Sasa nauliza kwa hii tathmini ' Kuntu ' kabisa ni nani anasema kwamba Mwanaume hajui Uchungu wa Kuzaa?

Nawasilisha.
Mmmmh hujui unachokiongea yaani maumivu ya kuzaa unafananisha na kupigwa korodani .....
Shukurun tu mungu hamzai
 
Back
Top Bottom