Hii imekaaje wakuu

Hii imekaaje wakuu

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,105
Reaction score
1,262
Unamtongoza mwanamke baada ya muda kupita habari za mtongozo zinaanza kusambaa kwa watu wake wa karibu ,unaweza kuta kakataa offer ya mahusiano ila wakat unapokatiza mahali walipo wanaanza kusemezana "Yule pale alinitongoza" kwanini wasifanye kupotezea maana hakuna kinachoendelea kati yao
 
USITONGOZE WATOTO!!
 
Ukisikia habari za wewe kutongoza rudi ukatongoze tena. Aliku-short list tu
 
Unamtongoza mwanamke baada ya muda kupita habari za mtongozo zinaanza kusambaa kwa watu wake wa karibu ,unaweza kuta kakataa offer ya mahusiano ila wakat unapokatiza mahali walipo wanaanza kusemezana "Yule pale alinitongoza" kwanini wasifanye kupotezea maana hakuna kinachoendelea kati yao
wemekulambazia mkuu....
 
Kama mwanamke najib swal lako nikufahamishe kwann anatangaza vile hata kama amekuchomolea,yaan kama kujisifu kama yy anapendwa,mzuri,ana vutia kujisifu kwa mwenzie/wenzie kama yy ndio kaoneka mzuri ndio maana katongozwa mwenzie/wenzio hawajaonwa maana wanawake sisi tukiona tunatongozwa tunajiona wazuri.yaan hata mm japo ke lakini siipendi hii tabia utakuta wanawake/wasichana wengne akipita mwanaume yule ananitaka kila mwanaume mara yule alikuwa ananitaka mara kanitongoza bhasi mm ushamba tyuuuuu.
 
hahahhahahhahahahhahaha unatongoza mabek 3 tena wa kutoka pande huko
 
Back
Top Bottom