ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,011
- 61,262
Hata Kama hakuna joto utashangaa nime sweat Kama vile nimekimbia mbio za Marathon.kama tume undergo kifo Cha mende ndo kabisa majasho ya usoni yatamwangukia machoni pake na hivi Yana chumvi chumvi basi ataanza kuwashwa macho mpaka unamuonea huruma sijui Sasa pengine mwenzangu namtoa kwenye mood au itambidi tu anivumilie.