Tutaendelea kuoa vituko(sura ngumu) kwa sababu wanajielewa, wana akili na wanajiheshimu

Kudo

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
1,809
6,081
*Mwanaume* haitaji Mwanamke mwenye Sura nzuri kama *Miss Utalii* na *Makalio* yanayoweweseka akitembea kama mshumaa uliopulizwa na upepo wa bahari ya Hindi....

Hizi ni sifa temporary kwa ajili ya tamaa ya macho na ngono...

*THERE IS LIFE BEYOND ATTRACTION AND SEX*
Ndo maana utashangaa mtu amedate mademu 20 wakali kinoma wenye wezere kama wamejiumba lakini anaoa demu wa 'kawaidaaa' mwenye *sura kama amepiga chafya* isiyotarajiwa halafu unaanza kujiuliza huyu kaka amekosa nini.. Hajakosa kitu..amevumbua dhahabu. Mwanaume anahitaji Mwanamke *MSAIDIZI... MSHAURI... MBEMBELEZAJI.... MTIA MOYO... MWENYE MAONO...*

Sio Mwanamke anajua Club zote mpya zilizofunguliwa Wiki hii lakini hana taarifa kama kuna Plot zinauzwa Sehemu Fulani ili amshauri Mumewe *ku-acquire Land.*
Utashangaa na Mkalio wako kama Dansa wa Baikoko umetemwa na anaolewa Bishost hajawahi kuvaa kipedo tangu azaliwe, anavaa charanga.
Kama unadhani Shepu ni Mali nenda kaombe kazi Twanga Pepeta...

*Tutaendelea kuoa vituko kwa sababu vina Akili na vinajiheshimu na wewe utaendelea kualikwa kwenye harusi kama Mtazamaji kwa sababu HUOLEKI*

  • 😜😜😜*****- *BADILIKA BINTI* -*****😜😜😜
C&P
 
  • *****- *BADILIKA BINTI* -*****
Unapocopy na kupaste bandiko la mtu huko jalibu kuedit uzi wako ili kutoa hivyo vinyota nyota vya kubond maandishi.
 
Ubaya uko wapi Chief
Aisee tunapenda kuzingatia vitu vya kipuuzi

Kukopi na kupaste ndio maana jf ipo Chief na hata hzo blogs zipo
Acha unafiki
 
Unapocopy na kupaste bandiko la mtu huko jalibu kuedit uzi wako ili kutoa hivyo vinyota nyota vya kubond maandishi.
Kuedit unatoa uhalali wa mwenye bandiko so maana halisi ya c&p fikisha kama lilivyo
 
Kuna jamaa yangu anaooa karibuni.
Ni mtu wa kutandika madada balaa.

Huyo mke mtarajiwa Sasa.!!
Kila mtu kabaki mdomo wazi.!!

Kwamba Kati ya mademu woooote jamaa kawapitia kakosa hata mmoja mzito mzito angalau?
 
Hahaaa uzito uzito sio ujenzi wa nyumba mzee
 
Ila wanaume mnatuyumbisha jamani Mara mnataka chura Mara mnataka sura za chafya hebu chagueni moja basi tujue twende Kwa mchina au tutulie na flat zetu, muwe na Huruma kidogo
 
Ww n chura yako tulia,jiheshimu,kuwa mbadala wa mawazo yenye tija sio chura ya kuringishia tu kisa unajua ukiniacha utapata mwingine
Utapigwa mikofi mingi ya makalio ila huolewi
 
  • Thanks
Reactions: Luv
wanawake wenye sura ngumu wana papuchu maridadi sana.
Nyingi hazitumiki sana mana huwa hawajiamini kukupa wakijua unawachezea tu utafuata mwenye msura safi

Ndo mana ukipewa unakuta ipo safi balaa
 
Mwingine huyu mhanga wa kukataliwa na Wanawake sasa ana hasira, punguza chuki ongeza game tafuta atakayekukubali, kama demu hakutaki usimlazimishe na kumuombea mabaya!
 
Vipi nikikutongoza utakubali? Chura ipo au ni ya kupigia chafya
 
Back
Top Bottom