Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Infatuation versus Love Sometimes it is hard to tell if you are infatuated with someone or in love with him or her. People of all ages can get mixed up between infatuation and love, and in the...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nahitaji future wife, awe mrefu, asiye mnene, rangi sichagui, asiwe na mtoto, awe anafanya kazi awe anapatikana mikoa ya kaskazini. Awe na umbo zuri pia umri usizidi miaka 28 .Aliyeko tayari ani Pm
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani habari za mchana, Naomba kuuliza hivi katika swara la kupata elimu hasa kwa watoto wa viongozi, na wao huwa wanafeli au wao ni majiniasi tu? Kwani watoto wote wa viongozi wana elimu kubwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Kwanza Mungu awabariki. Kuna ndugu yangu ameanza mahusiano na binti mwanasheria miezi kadhaa iliyopita. Kuna tetesi kwamba hawa viumbe huwa ni wakorofi na huwa hawataki kushindwa...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Yani Tanzania raia wake ni watu wa ajabu sana hawaeleweki wako wako tu ilimradi ni watu wa ovyo tu labda na mimi ningekuwa mtu wa ovyo kama bado ningekuwa tanzania. Mimi natumia kwa sana twitter...
2 Reactions
85 Replies
7K Views
Kwa wale wanaotuponda Leo mim nipo hapa kwa ajili ya kuwatetea
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuuliza sio ujinga wakuu je kuna uhusiano wowote wa mwanaume kuona kichefu chefu pale mchumba wake anapokuwa na mimba? Yaani baada ya kuona yeye mwenye mimba basi hicho kichefu chefu kinakusumbua...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mrembo Jane Park (23) wa Scotland ambaye alishinda zaidi ya Tsh. Bilioni 2 kwenye bahati nasibu, baada ya kuachana na mpenzi wake ametangaza kutafuta mwanaume wa kuwa nae kwenye uhusiano na...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Mimi nilikua ni mnene sana kulingana na urefu wangu, nilikua na kg 94 na mtambi mkuuuubwa sana sana,…. Hali hii ilinikosesha amani japokua wakati naongezeka mwili wengi hukupa maneno ya hongera...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu za siku nyingi na heri ya mwaka mpya 2018, nilikuwa nje na JamiiForums baada ya kuona vitoto vimezidi ujinga naona vimerudi shule wakubwa tujadili vitu vya mantiki na maana. Wakuu issue...
8 Reactions
98 Replies
19K Views
Wadau Salaam.. Naombeni ushauri nipo katika mtihani kidogo labda kupitia nyinyi na mawazo yenu naweza kupata njia nzuri ya kudeal na hili jambo.. Nina mchumba wangu tumekua ktk uhusiano sasa miaka...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jana nimesoma makala ya Freddy Macha kwenye gazeti la Mwananchi iliyokuwa inaongelea mijadala inayoendelea kwenye mitandao mbali mbali ikieleza kuwa wanaume wa Kitanzania (na labda Waafrika wote)...
8 Reactions
461 Replies
34K Views
Niaje hapa!!? Kama mada inavyojieleza Kwa miaka kama miwili sasa 2017-2018 nimekua mtu wa kukataliwa sana na wanawake hasa wale warembo sana Demu naweza nikawa nae ila kabla sijala tunda demu...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwa wale cheaters, hivi jamani siku ya kwanza kucheat especially kwa wenye ndoa, mlijisikiaje au mliwatazamaje wenzi wenu mara mlipo rudi nyumbani?
4 Reactions
322 Replies
29K Views
Dear Job seekers et al. Just wake up one day in the morning and go through your CV reference list. Act crazy and pretend to be a company or so and call them all to find out what they are saying...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Michango ya harusi sio mambo mageni kwetu watu ambao tushakua watu wazima, Michango ya harusi ni kitu muhimu sana katika harusi yoyote maana inaonesha umoja wa wachangiaji katika kusaidia shughuli...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari zenu wanaJF, ni matumaini yangu mpo salama salimini huku mkiendelea na kupambana kupata cha kupeleka kinywani. Kwa wale ambao kwa namna moja ama nyingine hawako salama, Mungu awajalie mpate...
6 Reactions
198 Replies
21K Views
Hii ni sex position ambayo mwanaume anakuwa juu ya mwanamke akiwa amelalia mgongo,waswahili wanasema "kifo cha mende"! Wakati wa uenezi wa dini ya kikristu,wamisionari waliwafundisha wafuasi wao...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari caren Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia...
8 Reactions
134 Replies
10K Views
Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa... Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake... Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu...
0 Reactions
75 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…