Nimjibu vipi huyu mwanamke?

Nimjibu vipi huyu mwanamke?

SuperHb

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2016
Posts
1,012
Reaction score
1,023
Kuna mwanamke nilimpenda sana...ila kwa bahati mbaya ameshaolewa...
Sasa juzi kati nikampost kaclip video kake...
Akanitumia txt kuwa *haamini kama kweli nimempost*...nikamjiibu "Amini kwasababu wewe ni moja ya watu muhimu kwangu"...akaniuliza ^kwanini nasema Hivo??^....

sasa wakuu hapo nimjibuje ...
 
Chukua nyanya katakata, chukua biringanya katakata, chukua kitunguu katakata, chukua maji katakata, chukua pilipili kichaa katakata mchemsho wako utakuwa tayari kwakugandisha tayari kwa kukatakata.... siku nyingine usirudie kuleta mada za wake za watu humu
 
Wee ni mkatili
 
Mhh sitaki kuamini swala dogo kama hili limekufanya ukose cha kumjibu had uje uombe ushauri huku

Yanii serious kabisa hujui cha kujibu??
Sijui cha kujibu...itakuwa vzur ukinambia
 
Back
Top Bottom