Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,573
Hii ni sex position ambayo mwanaume anakuwa juu ya mwanamke akiwa amelalia mgongo,waswahili wanasema "kifo cha mende"!
Wakati wa uenezi wa dini ya kikristu,wamisionari waliwafundisha wafuasi wao namna njema ya kujaminiana inayokubalika kiimani!Kwa wapendwa hao,mwanamke kulalia mgongo na mwanaume kuja juu ndio lilikuwa tendo lililokubalika kwani waliamini style hiyo inazuia kutamani visivyotamanika!
Waliokuwa wanafundishwa wakaiita style hiyo kuwa ni style ya kimisionari yaani "missionary position" na baadaye ikaja kuingizwa kwenye kamusi kama neno halali kumaanisha tendo hilo!
Mbwembwe za chuma mboga,mauno feni nk ilichukuliwa ni kitendo cha kishetani kwa wapendwa hao!!!
Wapendwa wa leo wanakamua mapigo yote ili wake zao wasitoke nje kutafuta mambo mapya!Yaani ukimfumania mtumishi alivyomkunja mwenza wake unaweza usiamini kama ni yule anayepita jumapili jirani na nyumba yako akielekea kanisani huku akiimba tenzi za rohoni na biblia mkononi!!!!
Nawatakia jioni njema wapendwa wote walioko MMU!