HIVI ELIMU INAUPENDELEO?

HIVI ELIMU INAUPENDELEO?

mwanya2

Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
94
Reaction score
49
Jamani habari za mchana,
Naomba kuuliza hivi katika swara la kupata elimu hasa kwa watoto wa viongozi, na wao huwa wanafeli au wao ni majiniasi tu? Kwani watoto wote wa viongozi wana elimu kubwa.
Ukweli ni upi?
 
Huwa wanafeli nao pia. Tofauti ni kuwa haitangazwi kama wanafunzi wengine. Mzaz anapojua hupiga simu matokeo yabadilishwe au mtoto ahamishiwe kwingine
Jamani habari za mchana,
Naomba kuuliza hivi katika swara la kupata elimu hasa kwa watoto wa viongozi, na wao huwa wanafeli au wao ni majiniasi tu? Kwani watoto wote wa viongozi wana elimu kubwa.
Ukweli ni upi?
 
Pembe za panzi buana... Afu kumbe we muha? Naona mwandiko na lafudhi ya kiha hapa.Nakusalimu nikiwa Kibondo hapa mkuu.
 
Ukiwa na pesa unaweza pata elimu kiwango chochote ukitakacho ila ukiwa na elimu huwezi pata pesa mingi uitakayo

Mfano,Kuna mtot wa maza wangu mkubwa alimalza mzizim 2004 form 4 akapta dvsn 3 akaendelea hap hapo
Cha sita kapiga 0 akaenda kusoma Japan certificate ya business, diploma,degree na majuzi ametoka India kuchukua master yake ila hana kazi but anatembelea range sport za mshua ako
Huko kote ni pesa tu wala kichwan hayupo njema
 
Back
Top Bottom