Huko Zimbabwe Mwanamke aitwae Silindile Mangena amemshitaki Mpenzi wake wa zamani Mugove kwa kusabisha sehemu zake za siri kupanuka kupita kawaida, Silindile anataka alipwe Tsh. Milioni 23 na...
Najua upo humu na utaupitia huu uzi, ni kweli nilikukosea kipindi tupo university lakini hata wewe ulinikosea pia, still nikakuomba msamaha wa dhati kwasababu nilikupenda sana wewe mpare...
Bwana Yesu asifiwe!
Kuna mtu mmoja aliniuliza swali PM sasa na mimi nimeona ni vema nikajibu hapa kwa faida ya wengi.
Maswali yake ni kama ifuatavyo;
1, Je, kuoa mke msiyeabudu pamoja ni...
Hivi kwa siku ngapi unaweza kuvumilia kukaa bila kufanya mapenzi?
Binafsi siku 7 tu zikipita hapo lazima niingie mawindoni lasivyo nitaweuka kwa genye.
Siwasemii wote na sio wote wana tabia mbaya ila wengi wa single mother ni wajeuri na viburi, mara nyingi ni watu wanaofanya maamuzi pasipo kufikria wakijua wataweza na wana ushauri mbaya sana kwa...
Single mother wana mapenzi matamu sana kuliko hivyo visister du,
Mapro wenzangu tuzamie huko tupate Raha ya dunia cha muhimu kuliko vyote utakachotakiwa kufanya ni kumpenda mwanae tu,
Usisahau...
UMESHAWAHI KUKUTWA NA HII DHORUBA KWENYE ULIMWENGU WA DOMO ZEGE?.
Ilikuwa ni mwaka 2000 nikiwa darasa la saba.Via vya uzazi ndio kwanza vilikuwa vimeiva.Nilikuwa bado sijaonja kikojoleo cha...
Hivi wanawake mmekuwaje siku hizi mbona mnapenda hela hivyo? daah siamini huyu binti mwenye mtoto mmoja amenichunia kisa nimekataa kumpa elf 3000, wakati yeye anafanya biashara yake huu ni...
Wakuu Habarini
Hapa ninafuraha ya ajabu kupindukia. Katika hali isiyo ya kutarajiwa bibi mkubwa akubali nioe mke wa pili kwa vigezo vichache sana. Kwanza kabisa lejeeni uzi wangu huu:
Naombeni...
Habar wapendwa,poleni na majukumu,nahitaji mchumba mwenye vigezo vifuatavyo,elimu lasaba mwisho diploma,umri 22-27,awe tayar kupima hiv,asiwe mfupi sana,mnene saiz,mweusi mweupe yote sawa,awe wa...
Kuna hii tabia ya upo na mwanamke wako,akikwambia anahisi ni mjamzito,unaanza dadekii!! itoe hiyo mimba mimi sipo tayari kuwa baba kwa sasa,au kuikataa na kusema siyo yako,swali langu ni lini...
Natumai humu tunaendelea vizuri,
Ngoja niende moja kwa moja kwa kisa kilichotokea hapa mtaani kwa wiki kadhaa zilizopita ,kuna mzee mmoja tunakae hapa mtaani ni dereva wa daradara anaishi yeye...
Ni kisa cha Richard ambae alifariki miaka michache iliyopita Richard alitoka kwao baada ya kumaliza kidato cha nne Dar alifikia Mbezi Beach kwa mjomba wake aliyekuwa afisa wa idara serikalini...
Mmeanza mahusiano na mwenzio akiwa na ndoto yake kufanikiwa kimaisha, lakini baada ya wewe kuingia tu unaleta sera zako za matumiz ya ovyo ya pesa inayopatikana bila kujali maisha ya mbeleni...