Ask your bae for sex without using the word SEX....

Ask your bae for sex without using the word SEX....

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Posts
8,705
Reaction score
19,281
-Baby twende kapedo

-Naomba uniangushie bendera

-Baby let's read the constitution

-Fungua server

-Baby twende tucheki shits za chuma nilinunua,

-Sweety leo nataka kalamu na karatasi zifanye mambo
 
Enzi hizo mababu zetu walikua wanatumia hii... Hasa kipindi watoto wakiwa sebuleni ule mda baada ya kula cha usiku..

Kama mbaba anataka sex... Anasogelea jiko anachukua kuni anaisukuma jikon (kama anachochea moto)...

Mwanamke akiwa hayuko fresh au yuko period basi ataifwata ile kuna na kuichomoa kabisa...

Hapo mzee anajua leo pakavu...

Kama mama yuko fresh basi nayeye atachukua kuni na kuisukuma jikoni kama alivyo fanya mzee...

Yan hapo mtoto hawezi elewa nini kinaendelea... Kumbe wazee washawasiliana mapema kabisa!!
 
Back
Top Bottom