Unaweza kukaa siku ngapi bila kufanya mapenzi?

Unaweza kukaa siku ngapi bila kufanya mapenzi?

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Hivi kwa siku ngapi unaweza kuvumilia kukaa bila kufanya mapenzi?

Binafsi siku 7 tu zikipita hapo lazima niingie mawindoni lasivyo nitaweuka kwa genye.
 
  • Thanks
Reactions: DLS
Nikizidisha sana basi ni siku3 tuuu siwez vuka zaid ya hapo yaan hata iweje mkuu[emoji23][emoji23]
 
Nikizidisha sana basi ni siku3 tuuu siwez vuka zaid ya hapo yaan hata iweje mkuu[emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Tunaenda ivyo ivyo na ndom
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]wewe inabidi nifunge safari ya kuja kutoa mahali kama tunaendana vile
 
Nina matatizo mwenzenu
Nikikutana na mwanamke baada ya dk 2 likiwa ndani linasinyaa hivi sasa nina miezi 6 sijawahi kugegeda na hata hamu sina

Ushauri wenu
 
Back
Top Bottom