Siwasemii wote na sio wote wana tabia mbaya ila wengi wa single mother ni wajeuri na viburi, mara nyingi ni watu wanaofanya maamuzi pasipo kufikria wakijua wataweza na wana ushauri mbaya sana kwa wanawake walio kwenye ndoa, wengi wao ni kutamani kuongezeka.
Wanawake wengi walio single mother hufanya maamuzi kwa kukurupuka aidha kwa kudanganywa kwa kipato na kufikiri kuwa wanaweza bila ya wanaume, lakini baada ya muda hujiona tofauti, wengi wao sio wepesi kukubali kuwa walikosea na hapo ndipo hutumia nafasi hiyo kushawishi wale wanawake waliopo kwenye ndoa ili waachike wafanane wote.
Ukiona mkeo ana ukaribu na single, jiandae.