Juzi kati rafiki yangu wa karibu sana ambaye naweza sema ni ndugu yangu kutoka na urafiki wetu wa muda mrefu alikutwa na maswaibu ya kusikitisha kidogo ambapo nimeona niwashirikishe wanajamvi humu...
Ilikuwa ni siku ya 3 tu.. Lakini afya yangu ilikuwa imedhohofu mno..Mifupa na mbavu vilihesabika kwenye mwili wangu.. Lakini hakuna mtu aliyejua hili, sababu Shati nilizovaa zilikula yamini ya...
Sijasema hivyo kwa kukurupuka...nina maanisha nachoongea...kutokana na different scenarios...zilizotokea hapa nchini...nikianza ni ishu iliyonikutaga mimi mwenyewe...
Niliwahi kuamua kwa moyo...
Hivi msichana ambaye anatabia ya kuwa kimya unapomuudhi, yaani haongei wala hakwambii kitu ila habari yake utaipata.
Yaani anafanya vitu kwa hasira na anakuwa anaongea kwa kifupi sana.
Je, huyo...
Aiseeee amini usiamini kataa uskitae kila binti siku yake ya kwanza kugegedwa lazima jamaa alitumia power achilia mbali hiyo ya kutoboa shimo siku ya kwanza, wanawake au wasichana hubakwa siku ya...
Inakaribia saa saba kasoro za usiku, kuwaza na kuwazua ikabidi nipige tu simu. Simu ikaitaa, ikaitaa, ikaita mpaka ikakata.
Ohhh! Itakuwa kashalala, dakika mbili mbele simu yangu ikawa inaita...
Na imani nyote ni wazima,
Moja kwa moja kwenye mada.
Ndugu zanguni, hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema. Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto...
Refer the heading above... Wana jf nataka mtu anieleweshe kuhusu hivyo vitu hapo juu maana kuna mdau mmoja alinambia hivyo ni mali ya illuminate members, ie, secret society
Habari za Jumapili
Nimebahatika kusafiri mbali kidogo kwa sababu mimi ni mgeni haya maeneo kwa bahati nzuri sana huku nilipo kuna mtoto wa shangazi yake baba yangu anaishi huku kiukweli anajiweza...
Ipo dhana kuwa hapa JF ni mahala pa kufanya mizaha tu. Lakini mimi siamini hivyo. Na ninajua wapo wengi ambao hawako hapa kufanya mizaha.
Ni kweli huwa nakuja hapa ili kupata taarifa mbali...
Habari wakuu,
Naomba wanawake waondoe hofu. Juzi kati mke wangu kanambia eti manii yamepungua kiasi kwamba siwezi kumtia mimba. Anadai eti nahangaika sana na wanawake.
Nikamuuliza kwanini...
Habari za wakati huu wapenzi wajf wote.
Nauzuni sana kisa maisha jinsi yanavyokwenda hakuna utu.
Jamani unakuta mtu amezaliwa na wenzie ila tamaa yakujionyesha anaenda kwa mganga anatoa familia...
1.HUSAIDIA KUPUNGUZA MIGOGORO
Hali hii hupunguza kabisa migogoro ya hapa na pale, kwani hiki ni kipindi ambacho mtakuwa mbalimbali jambo ambalo huepusha maudhi ya kibinadamu.
Mfano, yawezakana...
Baada ya kuanza mwezi wa 10 kwa misukosuko hadi hivi leo,uzito wangu umekongoroka mnooo
Mwezi nzima nimeishi kwa stress,wasiwasi na kukosa amani kutokana na matatizo yaliyonikuta
Jana nimepima...
Moja wapo ya raha za chuoni ni wanawake jamani.
Sehemu niliyofurahia sana mapenzi ni chuo muda wote nilikua huru kufanya kile nilichokitaka.
Kipindi bumu limeisha niliwapata mademu kiulaini mno...
Pengine wengine tumekuwa juzi tu hatujakutwa au kujionea mambo ya ndoa na mahusiana yanavyokuwa. Hivi ni kweli kuna kupigwa limbwata ukawa kama zezeta au zuzu?au ni mwanaume kukolea tu mahabat...
Katika Maisha urafiki ni Jambo la muhimu na lisilokwepeka. Kwa muktadha huo najitokeza mahali hapa kutafuta Rafiki wa kike anayesoma chuo chochote kile hapa DSM.
Life it's all about friendship...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.