Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Bwana Yesu asifiwe!
Kuna mtu mmoja aliniuliza swali PM sasa na mimi nimeona ni vema nikajibu hapa kwa faida ya wengi.
Maswali yake ni kama ifuatavyo;
1, Je, kuoa mke msiyeabudu pamoja ni dhambi/inawezekana?
2. Je, kuna muda wa kukaa uchumba?
3. Je, ni halali kumuhudumia mchumba kabla ya kuoana?
MAJIBU
1. Hakuna dhambi yoyote kuoa mtu msiyeabudu nae pamoja, kwaiyo inawezekana tu kuoa mtu msiyeabudu nae. Kitu cha muhimu ni kujua sifa za mwanamke anaestahili kuwa Mke, au mwanamme anaestahili kuwa mume.
JIBU
2. Hakuna muda maalum wa kukaa Uchumba, isipokuwa ni makosa kukaa miezi 2 au3 uchumba bila kupeleka taarifa kwa Mchungaji kwamba mmepatana na fulani kuoana.
Hii itampa binti kujiamini na kuwa na uhakika, lakn pia hata wewe itakupa hofu ya kuvunja uchumba huo kirahisi kwasbb tu umemtamani mwingine. PIA kufanya taratibu za kwenda kujitambulisha kwao, iyo nayo itafanya upendo wake kwako kukua zaidi.
>Kwa iyo wakati muda wa uchumba unaendelea ni vema kufanya hayo ukiwa unajua kabsa kiasi cha MAHARI kinachohitajika.
LAKINI kama mpo tuu uchumba na Mchunhaji, wala kwa wazazi, unaweza kuachwa/kuachana ghafla wakati mmekaa muda mrefu.
JIBU
3. Kumuhudumia mchumba inawezekana kwa mahtaji ya kawaida, lakini pale ambapo unaweza kufanya hivyo. Lakini isiwe kwa kukulazimisha. LAKINI binti haruhusiwi kuja kwako eti kukufanuia usafi au wewe kwenda kwake au kukutana mahali pa gizagiza/kichakani.
MUNGU AWABARIKI NA KWA WALE MLIO KTK UCHUMBA NINAWAOMBEA MUNGU AWAFANIKISHE KWA JINA LA YESU KRISTO.
KAMA UNA SWALI KUHUSU UCHUMBA, NDOA, FAMILIA ULIZA HAPA AU NJOO PM