Hebu fikiria ingekuwa ni wewe miaka 30 ulianzisha uhusiano na mwanamke ambae ni single mother ambae ulimkuta na kijana mdogo kama mtoto wake......
Yule mtoto ukamchukulia kama mwanao umemchukua...
Heshima kwenu!!
Kama bado una baba na mama wapende na kuwaheshimu. Pia ndugu mliozaliwa tumbo moja jitahidi msikwaruzane sana kiasi kila mtu akaapa hatokutambua tena bali mkashikamane milele...
**MUME NA MKE JITAMBUENI ILI MUISHI KWA FURAHA**
#MUME
Mke wako si nguo, kwamba ikichakaa utanunua nyingine, Mke wako ni kitu chema toka kwa Mungu, huwezi kuweka mbadala wake, iwe fedha au awe...
Hii ilinitokea mm mwenyewe dar.. mbagala chamaz kwenye pub moja hiv.. ilikua saa saba mchana hiv nilienda kupata msos.. nmemaliza kula nikawa napiga story na muhudum wa pale coz nmezoeana nae...
Habari zenu wapendwa,,, niende moja kwa moja kwenye mada husika, kwanza niseme poleni sana wanawake/wasichana walioko kwenye ndoa na ambao wana plan zakuingia huko kwenye ndoa, maana hali...
Kama mada inavyojieleza
Nimewaona wapemba na waunguja wengi au niseme wavisiwani ,vichwa vyao huku nyuma wengi kama sio wote hasa wanaume hawana chogo yani wapo flat hawajachongoka kama lile...
Habari za weekend wadau ,I hope mko Poa labda niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ni hivi nmepata kalikizo kafupi kutoka kiumeni (kwa watabe wa kubeba dunia) now...
Sina tabia ya kuacha mwanamke ila huyu inanibidi nimuache.
Kuna mwanamke bonge mmoja hivi kaniganda hadi anataka kuniua.
Nimefanya kila namna aniache lakini wapi, ndio anazidi kunipenda, yani...
Duniani kuna vituko
Watu wanapoana mara nyingi hutegemea furaha na raha kwenye ndoa yao lakini imekuwa tofauti kwa Kijana huyu
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 26 katika kijiji cha Mogabiri...
Baby Nikwambie kitu?
Daima wanaume wenzangu msijibu swali hili huwa ni mtego unaotoka kwa mwanamke ukikubali tu umeliwa lazima upigwe kizinga .
Cha kufanya badili mada chap kama mlikuwa mnachati...
Ni msichana wa miaka 25 mwenye maadili mema anatafuta mume kuanzia umri miaka 30-45. Mwenye hofu na mungu na mwenye maadili mema awe anaishi dar au Zanzibar alietayari pm.
Nimejaribu kila mbinu kuachana na mpzwng nimeshindwa kwan sipo tyr kuwanae tena kutokana na kunistress kila kukicha , ila nimejaribu kila mbinu kuachana nae but mwisho wa ck najikuta narudiana nae...
Somo hili sio langu ila nimeona vema kushare nanyi wanawake wa MMU,najua kila mtu angependa mahusiano yake yawe ya mfano bora wa kuigwa...
Naomba niwapestie kama ifuatavyo linalokufaa chukua...
Uliyempenda ameuvunja moyo wako kwa shoka la chuma. Lenye mpini wa usaliti, huku likiwa na makali yasiyoelezeka. Baada ya kukujeruhi pia ameondoka na Furaha yako. Kisha akakutelekeza Kwenye dunia...