Ushauri wa dada

Ushauri wa dada

Labda kugombana kwao ndio utamu Wenyewe anaouongelea huo "... wewe hujawahi kuona kuna wanawake wakikaa muda mrefu bila kupigwa " wanatafuta sababu ili wapigwe ""!!?
Hahaha labda kule kwetu kwa akina Waitara
 
Hiyo kitu ni kweli. Huwa wanalikoroga maksud ili ugombe. Yaan cjajua moaka leo huwa wanafanya wakiwa ktk hisia zao ama lah
Labda kugombana kwao ndio utamu Wenyewe anaouongelea huo "... wewe hujawahi kuona kuna wanawake wakikaa muda mrefu bila kupigwa " wanatafuta sababu ili wapigwe ""!!?
 
dada ako anavalishwa, analishwa, anajaza choo n.k.
jicheki mwenyewe twice.
 
dada ako anavalishwa, analishwa, anajaza choo n.k.
jicheki mwenyewe twice.
Familia zetu hiz bana wakiona unawezo wa kulipa kodi ya vyumba viwili hapa mjini basi wanajua umekwiva na una uwezo wa kuoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom