Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,647
- 4,495
Uliyempenda ameuvunja moyo wako kwa shoka la chuma. Lenye mpini wa usaliti, huku likiwa na makali yasiyoelezeka. Baada ya kukujeruhi pia ameondoka na Furaha yako. Kisha akakutelekeza Kwenye dunia ya mateso.''
Pembeni ya kitanda chako Kuna ROZARI, BIBLIA NA MSAHAFU. Upo kujiapiza Kamwe hautopenda tena ktk maisha yako.
Machozi yanatiririka Kwenye mboni za macho yako. Mithili ya theluji imwagikayo juu ya kilele cha mlima KILIMANJARO. yanaashiria msiba wa huzuni. Na simanzi kuu iliyozingira moyo wako.
Unapita Kwenye nyakati ngumu na za kuumiza mno. Nyakati ambazo zinadanganya fikra zako nakukuaminisha kuwa. Mauti ndio kitu pekee kiwezacho kupoteza maumivu makali, yanayokukabili kwasasa.''
Unapita Kwenye nyakati ambazo msamiati wa neno Furaha. Unashindwa kabisa kutafsirika, nakueleweka vema. Ndani ya misuli ya ubongo wako. HUku ukiwa huioni thamani ya uwepo wako chini ya mbingu na jua. Yaani (UMEJI DIS- VALUE.'')
Upo Kitandani umelala..Wimbi la Machozi ya huzuni likiulowanisha uso wako.. Na Mto unaoulalia.. Ndiyo shuhuda pekee wa machozi hayo.. Unatamani kuamka.. lakini Nguvu za kukuwezesha kutenda hilo tendo.. zimetoweka kabisa ndani ya mwili wako..
Kila unapotafakari mtu uliyekuwa na ndoto za kuja kuishi naye.. Nakisha muitengeneze family bora yenye kumcha Mungu.. Akiwa amekutenda..Na amezizima ndoto zako ghafla..
Mithili ya kibatari cha maskini Kwenye mvua iliyoambatana naradi pamoja na upepo mkali..''..Unalia Unatamani ulipe KISASI cha KUUA, na kisha dunia ikumeze. ''
Nyamaza... Muite Mungu.. futa machozi.. vaa roho ya ujasiri.. kisha amka... Najua. THE GREATEST PAIN IN LIFE. IS TO SIT BESIDE THE PERSON YOU LOVE ALOT, AND KNOW THE FACT THAT, THE PERSON CAN NEVER BE YOUR'S IN THIS LIFE TIME. ''
Lakini Kanuni ya kwanza ya mapenzi ni hii.. SIKU ZOTE HUSIKUBALI KUUMIA, JUU YA MTU UNAYEJUA WAZI YEYE HAUMII JUU YAKO. ''
Nakutaka kuendelea kuwa mapenzini na mtu ambaye ameonyesha wazi.. Haoni thamani yako na hana tena mapenzi nawewe.. Nawewe unaamni ukiwa naye.. unaweza kumfanya aendelee kukupenda kama mwanzoni...Hapo ni sawa nakuusurubu moyo wako..Kwa utumwa wa fikra zako mwenyewe.''
Na ikiwa mtu umempenda, mbali nawewe akaenda.. Husiyachukie mapenzi mchukie ALIYEKUTENDA.''